1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya asubuhi ya 26.09.2021

V2 / S12S26 Septemba 2021

Wajerumani wapatao milioni 60 leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu.Uingereza kutoa vibali vya muda vya kazi ili kukabiliana na upungufu wa wafanyakazi. Na Kanali wa zamani wa Rwanda aliyeratibu mauaji ya kimbari afariki dunia huko nchini Mali.

https://p.dw.com/p/40rqN