Wakati dunia ikiendelea kupambana na mripuko wa virusi vya corona China imethibitisha visa vipya 16//Makamu wa zamani wa rais wa Marekani, Joe Biden na Bernie Sanders wameshiriki katika mdahalo wa ana kwa ana kwa mara ya kwanza//Jenerali wa ngazi ya juu wa Sudan amesema nchi yake itakuwa mpatanishi wa mkataba kuhusu mzozo unaoongezeka kati ya Ethiopia na Misri wa bwawa la umeme katika Mto Nile