1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Ya Asubuhi: 05.06.2023

5 Juni 2023

Urusi yasema vikosi vyake vimezuia mashambulizi huko Donetsk na kuua mamia ya askari wa Ukraine. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya kujihami ya NATO amesema kuwa makubaliano juu ya Sweden kujiunga na muungano huo yanaweza kufikiwa hivi karibuni. Na huko Sudan, Mapigano yaripotiwa tena huko Khartoum na Darfur baada ya muda wa usitishaji mapigano kufikia tamati.

https://p.dw.com/p/4SBc9