1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.10.2021

V2 / S12S7 Oktoba 2021

Shirika la afya duniani limeidhinisha chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Malaria. Watu 20 wafariki dunia katika tetemeko la ardhi huko Pakistan. Na Ujerumani imewarejesha wanawake nane waliojiunga na kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS.

https://p.dw.com/p/41N78