Raia 60 wa Ukraine wauwawa katika shambulizi la bomu kwenye shule mashariki mwa nchi hiyo. Wapalestina wawili wauawawa kwenye machafuko Ukingo wa Magharibi na Jerusalem Mashariki. Na Chama cha kihafidhina cha Ujerumani cha Christian Democratic Union, CDU kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Schleswig-Holstein.