Katika taarifa yetu ya habari leo asubuhi: Rais wa Marekani Donald Trump na kansela wa Ujerumani Angela Merkel waijadili Korea Kaskazini. Watu wawili zaidi wauwawa kwenye maandamano nchini Venezuela. Marekani yawawekea vikwazo vipya maafisa wa Syria. Umoja wa Mataifa walaani video ya mauaji ya maafisa wake katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo