1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Taarifa ya Habari ya Asubuhi ya Jumatatu

V2 / S12S13 Novemba 2023

Mamia ya raia wa kigeni na majeruhi wa Kipalestina waruhusiwa kuondoka Gaza baada ya kivuko cha Rafah kufunguliwa tena. Rais Joe Biden wa Marekani kukutana ana kwa ana na Rais wa China Xi Jinping mjini San Francisco. Na Mafuriko nchini Somalia yasababisha watu nusu milioni kuyahama makaazi yao.

https://p.dw.com/p/4YjAi