Muhtasari; Watu wanane wauawa katika shambulio la Urusi wakati wanajeshi wa Ukraine wakiondoka katika sehemu za mji wa Bakhmut // ++++Mamia ya wafungwa wa vita vya Yemen waungana tena na familia zao baada ya kuachiliwa huru // +++Mahakama ya kikatiba ya Ufaransa yaidhinisha mpango wa Rais Emmanuel Macron wa kuongeza umri wa kustaafu