Rubani wa Urusi auawa Syria baada ya ndege kudunguliwa na waasi. Raia wa Italia aua Waafrika sita kwa kuwafyatulia risasi. Vyama vya Ujerumani vyakubaliana juu ya sera ya nishati na vyavutana juu ya sera ya afya katika mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto.