Katika Taarifa ya Habari leo Asubuhi: Watu zaidi ya 40 wameuwawa msikitini nchini Syria. Kansela wa Ujeruamni Angela Merkel anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington. Waziri wa maendeleo wa Ujerumani Gerd Müller atoa mwito wa kupatikana misaada ya haraka ili kuepusha njaa