1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Safari

Ubunifu wa magome ya mgomba

Hawa Bihoga
13 Machi 2023

Nchini Uganda, ndizi ni zaidi ya tunda.Msanii Isaac Nkonge anatengeneza fanicha nzuri kutoka na mti wa zao hilo. Ufundi wake sio tu wa bei nafuu,husaidia kuokoa sayari ya dunia inayokabiliwa na changamoto lukuki wa kemikali hatarishi.

https://p.dw.com/p/4OcPS