Kufuatia kuapishwa kwa Olaf Scholz kuwa kansela mpya wa Ujerumani, Rashid Chilumba amezungumza na Abdu Mtulya, mwandishi habari mkongwe na mchambuzi wa siasa za Ujerumani na kwanza nimemuuliza masuala gani wajerumani wanayapa kipaumbele kwa kiongozi huyo mpya kuyashughulikia?