'Uharamia' wa muziki unavyowaathiri wasanii wa Congo
Sanaa
Mitima Delachance20 Oktoba 2022
Katika Makala haya ya Utamaduni na Sanaa, tunamulika jinsi wasanii wa muziki kutoka Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanavyoathiriwa na uharamia, na juhudi zinazofanyika kupambana dhidi ya udhalilishaji huo. tayarishi na msimulizi wa kipindi ni Mitima Delachance