1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaridhia kuipa Tanzania zaidi ya bilioni 200

17 Novemba 2022

Ujerumani imeridhia kutoa msaada wa kiasi cha Euro milioni 87, ukiwa sawa na fedha za Kitanzania bilioni 210.10. Zaidi yatazame mahojiano ya DW na Waziri wa Fedha wa Tanzania Mwigulu Nchemba.

https://p.dw.com/p/4Jfoj