1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umasikini unavyoiathiri roho

14 Desemba 2022

Mwandishi Olivier David ameishi katika mazingira ya umaskini. Ilimchukua muda mrefu sana kugundua kwamba ana matatizo ya akili na kwamba maisha yake mjini Hamburg yanaweza kuwa sababu ya hasira yake na msongo wa mawazo. Anaelezea machungu yake kwa njia ya maandishi, kupitia kitabu chake kinachoitwa "Keine Aufstiegsgeschichte" - yaani Hakuna Hadithi ya Utukufu. Pata zaidi kupitia Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4KvIn