Katika baadhi ya tamaduni za kale kuwa na nywele ndefu kilikuwa kitu kilichotazamwa na mara nyingi kuaminika kama ni ishara ya uhuru, ukomavu wa kiimani na nguvu. Makala ya Utamaduni na Sanaa safari hii inaangazia umuhimu wa nywele ndefu kulingana na tamaduni mbalimbali.