Watoto wana kosa gani, linapofikia suala la vita? Mbona wananyimwa haki zao za kusihi kwa amani na haki nyingnezo? Vidio hii inaonyesha madhila waliyoyapata watoto baada ya shambulizi la angani lililopiga basi walilokuwa wamepanda. Papo kwa Papo: 10.08.2018.