Kukua kwa utandawazi na hali ya dunia ya sasa kumezifanya familia na hata sehemu nyingi za kuuza chakula, katika miji mikubwa barani Afrika kusahau utamaduni wa kula pamoja katika sinia. Utamaduni huu unatajwa kuhifadhi upendo, kujali na hata kuunganisha familia. Haya ndio tunaangalia katika makala yatu ya Utamaduni na Sanaa.