1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usanii wa kuchora ulivyoshika kasi Kigali

27 Februari 2018

Uchoraji mjini Kigali umeshika kasi. Willy Karekezi ni miongoni mwa wasanii. Amewavutia wanunuzi wa kimataifa, na angali anajitahidi kupata riziki kutokana na usanii wake.

https://p.dw.com/p/2tQHj