Miaka ya hivi karibuni, fani ya ushairi imeshuhudia aina mpya ya kughani mashairi inayotumiwa zaidi na washairi vijana. Makala ya Utamaduni na Sanaa inaangalia kwa kina mabadiliko haya ya kughani ushairi kutoka ule uliozoeleka hadi huu wa kisasa. Mtayarishaji ni Anuary Mkama.