Utamaduni na Sanaa: Mradi wa Tamaduni Zetu, Kesho Yetu
Mtindo wa maisha
Salma Mkalibala/ MMT20 Julai 2023
Kipindi cha Utamaaduni na Sanaa kinaangazia hatua ya uwezeshwaji na uendelezwaji wa Makungwi, kupitia mradi wa 'Tamaduni Zetu, Kesho Yetu' katika kuondokana na mila na desturi kandamizi, unaondeshwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Faidika Wote Pamoja-FAWOPA, mkoani Mtwara Kusini mwa Tanzania. Sikiliza makala hii iliyotayarishwa na Salma Mkalibala.