Kwenye kipindi cha Utamaduni na Sanaa, safari hii tunaangazia sherehe za harusi miongoni mwa jamii za Waarabu mjini Mombasa Kenya. Mavazi na mapambo yao kwenye harusi huashiria nini? Na je ni mambo gani ambayo hufanya harusi zao kutizamwa kuwa za kipekee? Fathiya Omar na mengi zaidi.