1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni wa kuchora Heena na unavyotizamwa barani Ulaya

Saumu Yusuf3 Juni 2021

Je utamaduni wa kuchora Heena unaangaliwa vipi barani Ulaya? Kipindi cha Utamaduni na sanaa leo kinakita kambi kwa mchora Heena maarufu wa London Paval Dhanjal kusikia je kipi kinachoifanya Heena kuwa maarufu miongoni mwa wazungu?

https://p.dw.com/p/3uNcf