Zaidi ya wanawake 200 leo waliongozana hadi katika majengo ya bunge jijini Nairobi kuwasilisha pendekezo lao la kutaka wapewe nafasi 50 za uwakilishi bungeni mswaada ambao uliendelea kujadiliwa katika kikao cha bunge leo hii.
https://p.dw.com/p/CH9X
Matangazo
Zainab Aziz alizungumza na kiongozi wa harakati za mswaada huo Bibi Ida Odinga.