1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Vijana na uraibu wa pombe wakati wa likizo

31 Januari 2024

Katika Makala hii ya Vijana Tugutuke, Mwenzetu Musa Naviye amezungumza na vijana kuhusu uraibu wa pombe na mihadarati hasa wakati wa likizo za shule, kunakodaiwa kuongezeka kwa matumizi hayo. Je, nini kinachochangia vijana kujiingiza katika uraibu huu?

https://p.dw.com/p/4aLAv