1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana waungana kutunza Mazingira, Afrika Kusini

26 Februari 2020

Bongani Phiri na Thabang Motheane wameacha kazi zao na kuanzisha mpango wa Valor Green ili kukabiliana na urundikaji wa taka katika kijiji cha Mmakau nchini Afrika Kusini. Zaidi tazama vidio hii. #kurunzi 26.02.2020

https://p.dw.com/p/3YTtk