Wanawake 6 wateuliwa katika baraza la mawaziri nchini Kenya
26 Aprili 2013Matangazo
Mpaka sasa ametaja majina ya mawaziri 18 miongoni mwa hao wanawake 6 ikiwa ni hatua pekee ya kihistoria katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Kutoka mjini Mombasa Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi na mwanasheria Yusuf Abubakar na kwanza alimuuliza analitazamaje baraza hilo katika hatua hii. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Mohammed Khelef