Ni ndoto ya kila mwanamke kuwa na umbo la kuvutia. Kuna walioamua kufanyiwa upasuji,kumeza vidoge, kudungwa sindano, kuvalia mavazi yenye vipandikizi yaani silicon ili mradi tu kuongeza wanakohisi wana mapugufu. Japo wapo waliofanikiwa, wengine wamedhurika au hata kupoteza maisha yao. Ungana na Jane Nyingi ufahamu mengi zaidi.