Imekuwa ni kawaida kwa wanawake hivi sasa kutafuta namna mbadala za kujiongezea kipato kwa kuanzisha vikundi vya kukopeshana. Lakini bado hawajui umuhimu wa kuvisajili kisheria. Mara nyingine hujikuta baadhi ambao si waaminifu wanakimbia na akiba za fedha walizojiwekea. Sikiliza makala haya ya wanawake yatakayokujuza mengi kuhusiana na madhila ya vikundi hivyo.