JamiiWanawake wanaoshona nguo kutumia sufuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiBernard Maranga09.05.20179 Mei 2017Bernard Maranga ametembelea wanawake wa Kitale, Kenya, kujionea juhudi za ushonaji mavazi na bidhaa nyingine mbalimbali kutokana na manyoya ya kondoo zinazotekelezwa na mama mmoja nchini Kenya. Yote hayo katika Wanawake na Maendeleo.https://p.dw.com/p/2cfZkMatangazoJackson Muema akitengeneza vitambaa kutokana na sufiPicha: DW/B. MarangaKifaa cha kufanya chakula kibakie na motoPicha: DW/B. MarangaGetrude Nalianya akionyesha nyuzi zilizotengenezwa na sufiPicha: DW/B. Maranga