1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake weupe ndiyo wenye mvuto?

Jane Nyingi
29 Septemba 2016

Hilo ndilo swali ambalo Jane Nyingi analifuatilia katika kipindi cha Vijana Mchaka Mchaka wiki hii. Wanaume wanasemaje? Wanapenda wanawake weupe, weusi au hawachagui? Sikiliza kipindi ufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/2QiZP