Wasichana – Kipindi 10 – Urembo21.03.201121 Machi 2011Katika kipindi hiki tutazungumzia juu ya urembo. Bibiy ambaye ni muhusika wetu mkuu hapendi kujiremba. Wasichana watagundua uzuri wa asili ni upi baada ya kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya urembo.https://p.dw.com/p/QpKUMatangazo