Wasichana – Kipindi 8 – Usafi wa mwili21.03.201121 Machi 2011Tutazungumzia juu ya usafi wa mwili na umuhimu wake kwa wasichana. Bibiy ataelezea matatizo maalumu kwa wasichana wa shule wakati wa kuvunja ungo. Anaelezea ugumu wa kujadili masuala haya na wazazi.https://p.dw.com/p/QpKMMatangazo