ZEC yasema imejiandaa vya kutosha15.09.201515 Septemba 2015Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar inasema kila kitu kimewekwa sawa, ili zoezi la uchaguzi visiwani humo liendeshwe kwa uwazi na kwa amani.https://p.dw.com/p/1GWlyPicha: DW/M. KhelefMatangazo Dotto Bulendu anazungumza na Kamishna wa tume hiyo Haji Ramadhan Haji, kuhusiana na maandalizi ya uchaguzi huo. Bonyeza alama ya kisikilizio kusikia mahojiano kati ya Dotto Bulendu na Hajji Ramadhani Hajji.