SiasaZuma akataa kuitii ANCTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa14.02.201814 Februari 2018Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma amekataa kukubali miito ya kujiuzulu, akishutumu hatua hizo zinazochukuliwa na chama tawala cha African National Congress ANC kumuondoa madarakani kuwa si za haki. https://p.dw.com/p/2sh7WMatangazo