You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bunge la EU kusitisha mazungumzo ya uanachama wa Uturuki
Uturuki inakosolewa kwa ukandamizaji wa wapinzani na wakosoaji baada ya jaribio la mapinduzi mwezi Julai
Schulz aacha uspika wa EU kuingilia siasa za Ujerumani
Schulz ambaye amehudumu kama rais wa bunge la Umoja wa Ulaya tangu mwaka 2012.
Bunge la Ujerumani laongeza muda wa jeshi lake dhidi ya IS
Jeshi la " Bundeswehr" kuendelea na misheni maalum ya kupambana na IS kutokea kambi ya Incirlik nchini Uturuki.
Congress Marekani yapitisha sheria kuibana Saudi Arabia
Bunge la Congress Marekani lataka wahanga wa mashambulizi ya Septemba 11 kuntendewa haki
Rais wa Brazil Dilma Rousseff ajieleza baraza la Seneti
Rais wa Brazil Dilma Rousseff ajieleza baraza la Seneti
Vijembe vyachangamsha bunge Uingereza
David Cameron ahudhuria kikao cha bunge la Uingereza kwa mara ya mwisho akiwa kama Waziri Mkuu
Mjadala wa kumiliki bunduki wazua mgomo Marekani
Mgomo huo wazua vurugu na kusababisha kuahirishwa kwa vikao vya baraza la wawakilishi
Marekani: Seneti lapinga sheria ya silaha
Baraza la Seneti la Marekani limepinga mapendekezo yote kwenye mswaada wa Kudhibiti Uuzwaji Holela wa Silaha
Bunge la Ujerumani halitaki kufumbwa mdomo
Uturuki yautaja Uamuzi wa bunge kuwa kosa la kihistoria
Kamati ya Bunge Brazil yaunga mkono kung'atuliwa Rousseff
Rais wa Brazil Dilma Rousseff anakabiliwa na hatari ya kufunguliwa mashtaka
Myanmar yapata rais wa kwanza wa kiraia
Htin Kyaw achaguliwa kuiongoza Myanmar
Bunge la Myanmar linamchagua rais mpya
Chama cha Aung San Suu Kyi kimemteuwa mgombea wa urais wa Myanmar
Bunge la kwanza la kihistoria laanza Myanmar
Chama cha NLD kugawana madaraka na jeshi
Salva Kiir ameteua wabunge 50 kutoka upande wa waasi
Salva Kiir ameteua wabunge 50 kutoka upande wa waasi
Bunge Marekani laimulika NSA kwa kulidukuwa
Kamati ya uchunguzi ya baraza la wawakilishi la Marekani imeitaka NSA ieleze kuhusu udukuzi
Angela Merkel atetea Mshikamano wa Ulaya
Kansela Angela Merkel amelihutubia bunge mjini Berlin akishadidia mshikamano wa Umoja wa Ulaya
Wanajeshi zaidi wahitajika Ujerumani
Ujerumani yahitaji wanajeshi wapya 10,000
Wanajeshi wa Bundeswehr hawatotupa mabomu
Bunge la Ujerumani laruhusu wanajeshi wa Ujerumani wapelekwe Syria kupambana na IS
Bunge la Ujerumani kuliidhinisha Jeshi kupambana dhidi ya IS
Wabunge wa Ujerumani leo wanatarajiwa kuidhinisha Jeshi kujiunga na kampeini dhidi ya IS Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Upinzani wapiga hatua Tanzania
Kwa mara ya kwanza vyama vya upinzani nchini Tanzania vimefanikiwa kupata wabunge wengi katika uchaguzi.
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Rais wa Afghanistan matatani
Rais wa Afghanistan matatani
Mgogoro huo waiweka Libya katika hali mbaya kiuchumi.
Serikali ya umoja wa kitaifa suluhisho pekee
Bunge la Ulaya launga mkono mipango ya Juncker
Bunge la Ulaya launga mkono mipango ya Juncker
Ugiriki yaokolewa kwa mara ya tatu
Hata hivyo Ugiriki inatakiwa iyaharakishe mageuzi yaliyopendekezwa na wakopeshaji
Maoni: Ulaya yaisaidia Ugiriki ili iisaidie tena
Wabunge wa Ujerumani hata hivyo wanajuwa huu hautakuwa mkopo wa mwisho kwa taifa hilo
Tsipras kutemea kura za upande wa upinzani
Maandamano ya wapinzani wa mageuzi
Ujerumani ruksa kujadiliana na Ugiriki
Bunge la Ujerumani Bundestag limeipa idhini serikali kuanzisha mazungumzo juu ya mpango wa uokozi wa Ugiriki
Merkel awasihi wabunge kuunga mkono uokozi wa Ugiriki
Merkel awasihi wabunge kuunga mkono uokozi wa Ugiriki
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Wabunge wa Madagascar wataka kumuondoa Rais Madarakani
Wabunge wa Madagascar wataka kumuondoa Rais Madarakani
Bunge la Sudan Kusini lamuongezea muda Rais Kiir
Bunge la Sudan Kusini lamuongezea muda Rais Kiir
Bunge la Marekani laidhinisha Ukraine kupewa silaha nzito
Bunge la Marekani laidhinisha Ukraine kupewa silaha nzito
Wabunge waidhinisha urafushaji wa msaada kwa Ugiriki
Licha ya mashaka miongoni mwa baadhi ya wabunge wahafidhina, mapendekezo ya kuisaidia Ugiriki yameidhinishwa.
Syriza kuunda serikali ya muungano Ugiriki
Syriza kuunda serikali ya muungano Ugiriki
Bunge la Ufaransa kupiga kura ''kuitambua'' Palestina
Bunge la Ufaransa linafanya mjadala juu ya pendekezo la kuitambua Palestina kama taifa, huku kukiwepo hali ya kukata tamaa barani Ulaya juu ya mkwamo katika mazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati.
Mahakama ya juu Libya yalifutilia mbali bunge
Mahakama ya juu nchini Libya leo imetoa uamuzi kuwa bunge linalotambulika na jumuiya ya kimataifa lenye makao yake mjini Tobruk lilichaguliwa kinyume na sheria
Wakimbizi kupewa haki zaidi Ujerumani
Bunge la Ujerumani linajadili kuhusu sera za watu wanaotafuta hifadhi ya ukimbizi hapa nchini. Pamoja na hayo, wabunge pia wanazizungumzia sheria za wakimbizi zilizowekwa na Umoja wa Ulaya.
Republican Walidhibiti Baraza la Seneti Marekani
Chama cha Republican kimechukua udhibiti wa Baraza la Seneti nchini Marekani baada ya kushinda katika uchaguzi wa katikati ya mhula ambao ulichukuliwa kama hukumu kwa sera za rais Barack Obama.
Waandamaji wavamia bunge Burkina Faso
Waandamanaji nchini Burkina Faso wamelivamia bunge la nchi hiyo baada ya purukushani na vikosi vya usalama.
Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi wa bunge Tunisia
Chama kisichoegemea dini nchini Tunisia cha Tunisia Nidaa Tounes kinaongoza katika uchaguzi wa bunge jipya la nchi hiyo, miaka minne tangu mapinduzi ya mwaka 2011.
Tunisia kufanya uchaguzi wa bunge Jumapili
Uchaguzi wa bunge wa Tunisia utakaofanyika siku ya Jumapili ambao ni wa kwanza tangu mapinduzi ya mwaka 2011, unawapa matumaini mataifa mengine ya Kiarabu ambayo bado yanakabiliwa na vurugu na ukandamizaji.
Bunge la Uingereza laitambua Palestina
Bunge la Uingereza limeridhia azimio la kulitambua taifa la Palestina, hatua ambayo waungaji mkono wanasema ni ishara ya wazi kwa Israel, huku Israel ikiita kitendo kinachohujumu jitihada za amani.
Wabrazil kumchagua rais na wabunge leo
Raia wa Brazil wanakwenda kwenye vituo vya kupigia kura leo, kumchagua rais na wabunge, huku kura za maoni zikiashiria kwamba rais wa sasa Bi Dilma Roussef kupata ushindi licha ya changamoto nyingi zinazomkabili.
Serikali ya mpito Libya yajiuzulu
Serikali ya mpito ya Libya imejiuzulu, wakati ambapo nchi hiyo inazidi kutumbukia kwenye mzozo wa kisiasa na mapigano makali yanayoendelea kati ya makundi ya wanamgambo yanayohasimiana kwenye nchi hiyo.
Ujerumani yataka ujasusi wa Marekani ukome
Ujerumani imeitolea wito Marekani kuchukua jitihada binafsi za kurekebisha upya hali ya mahusiano kati ya pande hizo mbili baada ya kile serikali ya Ujerumani inachokiita "kuvunjwa kwa uaminifu".
Ujasusi wa Marekani wapandisha hasira
Hofu zimeanza kutanda kwenye ulimwengu wa kidiplomasia kwamba mahusiano ya kijadi kati ya Marekani na Ujerumani yanazidi kuathirika, kutokana na kashfa nyengine ya ujasusi wa Marekani dhidi ya Ujerumani.
Bunge la Ujerumani laukumbuka mwaka wa mia moja tokea kuanza vita kuu vya kwanza
Bunge la Ujerumani leo limeukumbuka mwaka wa mia moja baada ya kuanza vita kuu vya kwanza na kwa ajili hiyo Spika wa Bunge hilo Norbert Lammert ametoa mwito wa kuitatua mizozo ya dunia kwa njia ya mazungumzo.
Kikao cha bunge chaahirishwa Iraq
Wabunge waliochaguliwa karibuni nchini Iraq walikutana leo(01.07.2014),wakiwa katika mbinyo wa kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kuepusha nchi hiyo kugawanyika baada ya mashambulizi ya Waislamu wenye Imani kali.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 14
Ukurasa unaofuatia