You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Bunge Ujerumani lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Wayahudi
Wabunge wa Ujerumani wamepitisha muswada wa kuanzisha sheria kali kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi nchini Ujerumani.
Mahakama Afrika Kusini yalitaka bunge kumuwajibisha Zuma
Hakimu Chriss Jafta amesema bunge limeshindwa kutimiza sheria kama inavyodokezwa katika kifungu cha 89
Mawaziri na wabunge wazidi kujiuzulu Peru
Mawaziri zaidi wajiuzulu
Bunge la Zimbabwe laanza mchakato wa kumuondoa Rais Mugabe
Umati mkubwa wa waandamanaji ulikusanyika nje ya bunge la Zimbabwe kushinikiza Mugabe ajiuzulu
Wabunge 40 Uingereza hawana imani na May
Wabunge 40 wa chama cha Conservative Uingereza wasaini barua ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Theresa May.
Uhispania yalivunja bunge la Catalonia
Rajoy amechukua hatua hizo kujibu uamuzi wa bunge la Catalonia wa kujitangazia uhuru ili kujitenga na Uhispania
Wolfgang Schaueble spika mpya Bundestag
Wolfgang Schaueble ndie spika mpya wa Bundestag
Bunge la Ujerumani kufanya kikao chake cha kwanza
Bunge la Ujerumani kufanya kikao chake cha kwanza baada ya uchaguzi
Wabunge wa Marekani wataka majibu vifo vya wanajeshi Niger
Wanajeshi wa Marekani waliuawa Niger
Wabunge wa Marekani wataka vikwazo dhidi ya Myanmar
Warohingya 582,000 wamekimbilia Bangladesh ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita.
Wajerumani wapiga kura kulichagua bunge
Uchaguzi wa Ujerumani unafanyika Jumapili (24.09.2017) kulichagua bunge
Wanasiasa wa Ujerumani wanapata mishahara kiasi gani?
Tofauti ikio wapi kati ya malipo ya mawaziri na wabunge ukilinganisha na mishahara ya raia wa kawaida.
Mchakato wa uchaguzi wa Ujerumani
DW inauangalia nje ndani uchaguzi wa Ujerumani kabla ya kufanyika uchaguzi wenyewe tarehe 24 Septemba.
Juncker aeleza matumaini baada ya Brexit
Juncker aonesha matumaini kwa Umoja wa Ulaya
Merkel aonya juu ya changamoto zinazoikabili Ujerumani
Uhusiano na Uturuki, mgogoro wa rasi ya Korea ndiyo vipaumbele vya ajenda ya kimataifa ya Ujerumani.
Bunge la Brazil lapinga mashtaka ya rushwa dhidi ya Temer
Hatua hiyo imemuepusha Rais Temer kufikishwa mbele ya mahakama kuu, hatua ambayo ingesababisha aondolewe madarakani
Upigaji kura umeanza Venezuela
Upigaji kura waanza Venezuela
Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo Poland?
Bunge sasa linataka liteuwe majaji 15 kati ya 25 wa Mahakama ya Juu.
Bunge la Poland lapiga kura kuidhibiti mahakama
Hadi sasa bunge limejipa nguvu ya kuwateuwa majaji 15 kati ya 25 wa Mahakama ya Juu
Bunge lamkingia kifua Temer
Kamati ya bunge la Brazil yamkingia kifua Michel Temer kufunguliwa mashtaka mahakama ya juu zaidi.
Bunge la Ulaya lataka EU kusitisha mazungumzo ya Uturuki
Bunge la Ulaya limeushauri Umoja wa Ulaya kusitisha mazungumzo ya Uturuki kujiunga kwenye Umoja wa Ulaya.
Genge la wafuasi wa Maduro lawashambulia wabunge Venezuela
Shambulizi hilo lililolenga bunge ndilo tukio la hivi punde kuuhusu mzozo wa kisiasa unaoendelea kutokota Venezuela
Ujerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja
Ujerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja
Malkia Elizabeth kuwasilisha mpango wa serikali bungeni
Uchaguzi wa bunge waingia duru ya mwisho Ufaransa
Uchaguzi wa bunge waingia duru ya pili na ya mwisho Ufaransa
Uchumi wa Ujerumani katika mwaka wa uchaguzi
Je, hali ya uchumi ikoje nchini Ujerumani wakati uchaguzi unakaribia?
Macron anyemelea ushindi uchaguzi wa bunge Ufaransa
Macron anyemelea ushindi uchaguzi wa bunge Ufaransa
Wafaransa wapiga kura kulichagua bunge
Emmanuel Macron anawania kupata wingi bungeni katika uchaguzi wa bunge
May apoteza wingi wa viti bungeni
Licha ya kuwa na viti vingi zaidi kuliko Labour, Conservative hawakupata idadi inayotosha kuunda serikali.
Seneti yadai ushahidi wa Flynn kuhusu Urusi
Kamari ya ujasusi ya Seneti imetoa hati ya kumtaka Michael Flynn kuwasilisha nyaraka zinazohusiana na Urusi
Maduro aitisha bunge la katiba
Hali yazidi kuzorota Venezuela, taifa lenye utajiri mkubwa wa mafuta katika Amerika ya Kusini.
Wabunge waunga mkono uchaguzi wa mapema Uingereza
Majadiliano rasmi ya kisiasa ya kujiondoa Umoja huo kuanza baada ya uchaguzi
Bunge la Uingereza kuidhinisha hoja ya May
Chama chake cha Conservative kiko katika nafasi nzuri ya kushinda
Rais Steinmeier akosoa Brexit na wazalendo
Steinmeier amesema uamuzi wa Uingereza kujitoa EU haukuwa wa dhamana
Trump ataka bunge kufutilia mbali bima ya afya ya Obama
Trump aonya kutokufutiliwa mbali mpango wa Obama kutaufanya kuendelea kuwepo na atasonga mbele na ajenda zake nyingine
Rais wa Kenya ataka mishahara ya wabunge ipunguzwe
Rais wa Kenya ataka mishahara ya wabunge ipunguzwe
Bunge la Uingereza laidhinisha mchakato wa Brexit
Bunge la Uingereza lampa mamlaka Theresa May kuhusina na Brexit
Bunge kuchunguza madai ya Trump dhidi ya Obama
Mkurugenzi wa FBI ataka idara yake kuyakana hadharani madai ya Trump
Baraza la juu Uingereza larekebisha mswada wa Brexit
Rais Donald Trump ahutubia bunge kwa mara ya kwanza
Wajumbe wa Republican wapinga kupunguza misaada ya Marekani, maswala ya uhamiaji, na mipango ya ndani kwa jumla
Bunge Uingereza laidhinisha Brexit
Muswada wa sheria ya Brexit kujadiliwa na bunge la mamwinyi kabla ya kuwa sheria.
Wabunge wa Somalia kumchagua rais mpya
Wabunge na maseneta wa Somalia leo wanamchagua rais wa nchi hiyo, huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.
Spika UK apinga Trump kuhutubia bunge
Trump atazuru Uingereza kama mgeni wa Malkia baadae mwaka huu.
Mapendekezo ya Trump yaendelea kupingwa na Baraza la Seneti
Tajani kuliongoza Bunge la Umoja wa Ulaya
Mwanasiasa wa Italia Antonio Tajani amechaguliwa kuwa Rais wa Bunge la Umoja wa Ulaya, katika uchaguzi uliofanyika jana.
Tajani aongoza kura ya Uspika wa bunge la Ulaya
Bunge la Uturuki laidhinisha mjadala wa mabadiliko ya katiba
Bunge la Uturuki limepiga kura ya kuendeleza mjadala kuhusu marekebisho ya katiba.
Bunge la Marekani lachunguza udukuzi dhidi ya Urusi
Maafisa waandamizi wa mashirika ya upelelezi nchini Marekani wanahojiwa kuhusu madai waliyotoa kuhusu udukuzi
Bunge la Colombia laidhinisha makubaliano ya amani
Makubaliano kati ya serikali na waasi wa FARC yatatoa fursa ya kuwepo amani Colombia
Bunge la Colombia laidhinisha makubaliano ya amani
Makubaliano hayo ya kihistoria kufungua ukurasa mpya wa amani Colombia
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 14
Ukurasa unaofuatia