You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Brexit: Suala la mpaka wa Ireland bado halijapata ufumbuzi
Hata hivyo duru za pande zote mbili zimesema mazungumzo hayo yataendelea miongoni mwa maafisa wa ngazi za chini.
Wabunge wa democratic wamchunguza Trump upya
Wabunge wa chama cha democratic nchini Marekani wameanzisha uchunguzi mpya dhidi ya Rais Donald Trump.
Ushahidi wa Michael Cohen fedheha kwa Donald Turmp
Trump asema ushahidi huo ni wa uongo na kwamba unaiteremshia Marekani Hadhi yake kimataifa.
May aliahidi bunge kuchelewesha Brexit
Theresa May aliahidi bunge la Uingereza kuuchelewesha mchakato wa Brexit kwa miezi mitatu.
Bunge la Marekani lataka msaada wa Marekani kusitishwa Yemen
Bunge la Marekani lapiga kura kusitisha msaada wa Marekani kwa vita vya Yemen
Wabunge Marekani wafikia makubaliano ufadhili wa ukuta
Shughuli za serikali za Marekani
Bunge la Ulaya lamtambua Guaido kuwa kaimu rais Venezuela
Guaido amefutilia mbali uwezekano wa kuzuka vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini mwake
Theresa May ataka kubadilisha makubaliano ya Brexit
Hata hivyo taarifa ya makao makuu ya Umoja wa Ulaya mjini Brussels imesema haitawezekana mpango huo kujadiliwa tena.
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni
Muswada huo pia unatoa mwito wa kuoanisha ulinzi wa mazingira na malengo ya maendeleo.
Trump na spika wa baraza la wawakilishi wanazidi kuzozana
Uhasama kati ya rais Donald Trump na spika waBaraza la Wawakilishi Nancy Pelosi umezidi kupamba moto.
Maysasa ataka mazungumzo na vyama vya upinzani kuhusu Brexit
Lakini May hakuzungumzia uwezekano wa kuongezewa muda wa miaka miwili kubakia Umoja wa Ulaya baada ya mwezi Machi.
Wabunge wa Uingereza waiweka pabaya Ulaya
May anakabiliwa na kipindi kigumu kabisa kwenye historia yake ya kisiasa
Bunge la Uingereza kupiga kura ya Brexit
Bunge la Uingereza Jumanne litafanya kura ya kihistoria kuhusiana na mpango wa Uingereza wa Brexit.
Uingereza: Kura muhimu kupigwa kuamua mchakato wa Brexit
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amewakabili wapinzani wa mpango wake juu ya Uingerezakujiondoa Umoja wa Ulaya,
Marekani: Wademocrat wapitisha bajeti isiyojumuisha ukuta
Baraza la Wawakilishi wapitisha bajeti ambayo yumkini itakwama katika Baraza la Seneti
Wamarekani wamlaumu Trump kusitishwa shughuli za serikali
Wamarekani wamlaumu rais Trump na maseneta wa Democratic kwa kustishwa shughuli za serikali nchini humo.
Baraza la Seneti lamkemea Trump kuhusu Saudia na Khashoggi
Maseneta wa pande zote za kisiasa wamesema Mwanamfalme wa Saudia alihusika na mauaji ya Khashoggi
Wabunge wa Uingereza kupiga kura ya kutokuwa na imani na May
May ameapa kusimama kidete na kupigania mpango Brexit akisema mabadiliko ya uongozi yataeta migawanyiko zaidi.
Je bunge la Uingereza litaupitisha mpango wa Brexit?
brexit
Wademokrat wadhibiti tena baraza la wawakilishi Marekani
Wademokrat wamerejesha udhibiti wa baraza la wawakilishi kutoka kwa chama cha Rais Donald Trump cha Republican
Waulaya wanapojaribu kufikiria kwa ujasiri zaidi
Jumanne ijayo wabunge kwenye wilaya 435 za majimbo yote 50 ya Marekani watachaguliwa upya.
WaSrilanka waandamana kumtaka Rais aitishe vikao vya Bunge
Maelfu ya raia wa Sri Lanka wameandamana kumshinikiza rais Maithripala Sirisena kuitisha kikao cha Bunge
Kavanaugh aapishwa kuwa jaji wa Mahakama ya Juu
Brett Kavanaugh aliapishwa kuwa jaji wa 114 wa Mahakama ya Juu ya Marekani.
Wakurdi wa Iraq wateremka vituoni kulichagua bunge jipya
Wakurdi wa Iraq wateremka vituoni kulichagua bunge jipya
Kamati ya Kimahakama yapiga kura kuhusu Kavanaugh
Wabunge wa Replublican nchini Marekani wwapiga kura kuhusu uteuzi wa Brett Kavanaugh
Mshirika wa kansela Angela Merkel afungishwa virago!
Vyama vya upinzani vyataka kansela wa Ujerumani akabiliwe na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.
Uchaguzi wa wabunge eSwatini kufanyika Ijumaa
Wanaharakati wa upinzani katika falme ya eswatini wasema uchaguzi wa Ijumaa haufai
Waziri mkuu wa Hungary asema kura ya bunge ni kisasi tu!
Viktor Orban amesema kura hiyo ni kutokana na msimamo wa nchi yake wa kupinga sera ya uhamiaji barani Ulaya.
Juncker atoa hotuba yake ya mwaka katika bunge la Ulaya
Jean Claude Juncker amesema kwenye hotuba yake ya mwaka katika bunge la Umoja wa Ulaya mjini Strasbourg.
Bunge la Ulaya kuamua juu ya mienendo ya Hungary
Viktor Orban ayatoa makucha yake katika Bunge la Ulaya
RPF Yaongoza uchaguzi wa bunge Rwanda
Idadi ya waliojitokeza kupiga kura hususan mjini Kigali sio kubwa katika uchaguzi uliokuwa na wagombea zaidi ya 500
Wabunge wa Iran kutoridhishwa na maelezo ya Rouhani
Wabunge wa Iran hawakuridhishwa na maelezo ya Rais Rouhani juu ya kuporomoka kwa uchumi wa nchi.
John McCain, gwiji wa siasa za Marekani afariki dunia
John Sidney McCain III amekuwa na mwajiriwa mmoja tu katika maisha ya dhoruba: Marekani.
Bunge Israel lapitisha sheria tata ya utaifa wa Kiyahudi
Sheria hiyo ya "taifa huru" imepita bungeni kwa kura 62 dhidi ya 55 katika bunge hilo lenye viti 120.
Ujerumani: Nchi tatu Afrika ni salama kurejeshwa wakimbizi
Mswada huo pia utawezesha kurejeshwa nyumbani wale ambao maombi yao ya hifadhi yamekataliwa Ujerumani
Wabunge wa Marekani wamkosoa Trump namna alivyoitetea Urusi
Trump aitetea Urusi kuhusu madai ya kuingilia kati
Kansela Angela Merkel asisitiza maridhiano bungeni
Hata hivyo mambo bado sio shwari kabisa katika serikali yake ya mseto na mazungumzo yanaendelea na chama cha SPD.
Kansela Merkel autetea msimamo wake kuhusu wakimbizi bungeni
Katika mjadala wa bunge kansela Merkel amesisitiza kuwepo suluhisho la pamoja la Umoja wa Ulaya
Zuckerberg aomba msamaha na kuapa kurekebisha mambo
Bilionea Mark Zuckerber alifika mbele ya wabunge wa Umoja la Ulaya mjini Brussels kujibu maswali.
Taifa la Lebanon litafanya uchaguzi wa wabunge Jumapili.
Taifa la Lebanon litafanya uchaguzi wa wabunge Jumapili. Uchaguzi huo utakuwa wa kumi nne.
Maandamano Armenia baada ya Pashinyan kukataliwa na bunge
Pashinyan ameapa maandamano yataendelea hadi chama tawala cha Republican kiridhie awe Waziri mkuu wa Armenia.
Ujerumani yasisitiza taifa la Israel kuwa na haki ya kuwapo
Bunde la Ujerumani yapitisha azimio Israel kuwapo
Mashambulizi dhidi ya Syria yalivunja sheria ya kimataifa
Mashambulizi dhidi ya Syria yalivunja sheria ya kimataifa-Ripoti ya Bunge la Ujerumani
Kashfa ya mtandao wa Facebook Zuckerberg kuhojiwa
Mark Zuckeberg asema itachukua muda wa miaka mingi kurekebisha dosari baada ya watu wabaya kuvamia Facebook.
Wanafamilia ya Kifalme kukosa Kombe la Dunia
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atangaza hatua kadhaa dhidi ya Urusi, ikwemo kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Urusi
Angela Merkel achaguliwa tena kuwa kansela wa Ujerumani
Angela Merkel achaguliwa tena kuwa kansela wa Ujerumani
Angela Merkel ateuliwa na rais wa shirikisho kuwa kansela
Angela Merkel ateuliwa na rais wa shirikisho kuwa kansela
Bunge Marekani lashinikizwa kudhibiti umiliki wa bunduki
Wajumbe wa Congress wanarejea mjini Washington wakikabiliwa na shinikizo la kudhibiti umiliki wa bunduki Marekani
Merkel asisitiza umuhimu wa Umoja wa Ulaya kwa Ujerumani
Kansela wa Ujerumani ainisha umuhimu wa Umoja wa Ulaya kwa Ujerumani
Wajumbe wa SPD kuamua juu ya muungano na Merkel
Kura ya hapana ndani ya SPD itaitumbukiza Ujeurumani katika mgogoro mkubwa wa kisiasa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 14
Ukurasa unaofuatia