You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Facebook
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Fahamu maudhui yanayowavutia wasichana mitandaoni
Wasichana wamekuwa na matumizi mbalimbali ya mitandao ya kijamii lakini wengi wao hukumbana na changamoto nyingi, ambazo wengine huwaachia alama mbaya, ni kipi hasa wanatakiwa kujifunza kabla ya kuingia katika ulimwengu wa kidijitali?
Guterres: Mitandao ya kijamii na AI inazidisha chuki
Kiongozi huyo ametumia jukwaa la mkutano wa UNAOC pia kushinikiza kuwepo kwa amani Gaza, Lebanon, Ukraine na Sudan.
Australia kudhibiti mitandao ya kijamii kwa watoto
Chama kikuu cha upinzani cha Liberal kinatarajiwa kuunga mkono muswada huo wa kudhibiti mitandao kwa watoto.
Marufuku ya mitandao chini ya miaka 16 yanukia Australia
Australia itapeleka bungeni muswada utakaopiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16.
Mauritius yazuia upatikanaji huduma za mitandao ya kijamii
Ofisi ya Waziri Mkuu imesema kanda za sauti zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii huenda zilihatarisha usalama.
India: Makampuni yakabiliwa na mashambulizi ya mtandaoni
Makampuni nchini India yanashuhudia ongezeko kubwa la mashambulizi ya mtandaoni yanayolenga biashara ikiwemo benk.
Umuhimu wa kutunza taarifa binafsi mitandaoni
Wataalamu wa mtandao wanasema ni muhimu kutunza taarifa binafsi pale unapotumia intanenti, lakini kwa namna gani inaweza kukugharimu ikiwa hujazingatia kulinda taarifa binafsi? Sikiliza mjadala wa vijana katika makala ya vijana tugutuke na Anuary Mkama.
Mitandao ya kijamii inaweza kuleta mageuzi ya siasa Afrika?
Makala ya Vijana Mchaka Mchaka inamulika nafasi mitandao ya kijamii barani Afrika katika mageuzi ya kisiasa.
Athari ya utambulisho feki katika mitandao ya kijamii
Kwa muda sasa vijana wamekuwa wakilalamika kwamba hakuna ajira licha ya wao kuwa na elimu au vipaji ambavyo pengine vingetosha kwa wao kuajiriwa. Lakini utambulisho feki wa vijana kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijitali, unawanyima vijana fursa ya kuajiriwa na kijikimu kimaisha. Suleman Mwiru anamengi.
Meta kuchunguzwa juu ya usalama wa watoto mtandaoni
Uchunguzi huo unalenga kubaini ikiwa kampuni ya META imekwenda kinyume na kanuni kali za kidijitali za Umoja wa Ulaya.
Marafiki kupostiana mtandaoni siku ya "Birthday"
Utamaduni wa kusheherekea siku ya kuzaliwa umebadilika hasa katika zama hizi za kidigitali na kupostiwa mtandaoni.
Mwanamitindo wa Uganda anayetamba TikTok
Angella Summer Namubiru ni mwanamitindo kutoka Uganda, anaishi maisha ya kijijini na kujizolea umaarufu TikTok. Amekabiliwa na ubaguzi kutokana na rangi nyeusi ya Ngozi yake. Lakini sasa ameamua kutumia mitandao kuelemisha umma. #vijanamubashara
Sema Uvume: Programu inayosaidia wasioona kutumia mitandao
Programu maalum za kuwasaidia wenye ulemavu wa macho kutumia majukwaa hayo zimeanza kufanya kazi.
Takriban asilimia 16 ya vijana wananyanyasika mitandaoni
Unyanyasaji kupitia mitandao umeongezeka tangu janga la UVIKO-19, ambapo vijana wengi walizidisha matumizi ya mitandao.
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Wanaharakati wa mitandao Uganda wasema maisha yako hatarini
Washawishi wa mitandaoni wabadili mwelekeo wa Ramadhani?
Kumekuwepo hofu pia katika Mashariki ya Kati kwamba Ramadhani inaelekea pia kuwa ya kibiashara kupita kiasi.
Mastaa wageuka ombaomba mitandaoni?
Ni jambo la kawaida kuona ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa mastaa wakiomba msaada wa kifedha kutoka kwa mashabiki wao na wafuasi wao. Iwe ni kwa ajili ya kulipa bili za matibabu, kulipa kodi za nyumba au hata kununua kitu cha thamani. Bruce Amani anaimulika mada hii katika Vijana mchakamchaka.
Makampuni ya kidigitali kuanza kutekeleza sheria mpya za EU
Sheria mpya ya Umoja wa Ulaya inapiga marufuku mgongano wa kimaslahi, pamoja na kutaka kuimarishwa ufanisi wa mitandao.
Redio: Nyenzo ya mawasiliano inayokwenda na wakati
Kila ifikapo Februari 13, dunia inaadhimisha siku ya redio.Tangu mawimbi ya redio ya kwanza kusikika, imekuwa zaidi ya karne yenye mapinduzi makubwa katika kuhabarisha umma. Kauli mbiu ya mwaka huu "karne ya kuhabarish, kuelimisha na kuburudisha."
Kenya inavyopambana kuwalinda watumiaji wa mitandao
Mamlaka nchini Kenya zinahimizwa kuchukuwa hatua za kuwalinda raia wake dhidi ya uhalifu unaofanyika kupitia mitandao.
Meta, TikTok na X, wabanwa kuhusu usalama mtandaoni
Wabunge Marekani wayabana makampuni ya teknolojia ikiwemo Meta, TikTok na X kuhusu usalama mtandaoni.
Tofauti ya maisha ya mtandaoni na maisha halisi
Mitandao ya kijamii imechukua sehemu kubwa ya maisha ya watu hasa vijana, ila wengi wanaishi maisha "feki."
Vijana wanamudu shinikizo la mitandao ya kijamii?
Utakubali katika dunia ya sasa ni changamoto kuishi bila ya mitandao ya kijamii sababu utapitwa na mambo mengi muhimu, ikiwemo mtindo wa maisha, na hata habari za kila siku. Kwa hatua hiyo, shinikizo kwa vijana ni kubwa katika malengo waliojiwekea na wakati mwingine hubadili hata yale walioyapanga maishani sababu tu ya shinikizo kwenye mitandao.
Wakenya wapinga serikali kufuatilia watu kupitia simu
Wanaharakati wa masuala ya kidigitali nchini Kenya wamepinga hatua ya serikali kufuatilia watu kupitia simu za mkononi.
Kuzikabili habari potofu mtandaoni
Video zilizojaa hotuba za chuki na habari za uongo zimekuwa zikiwafikia kwa haraka mamilioni ya watu mtandaoni nchini Kenya. Esther Kazungu muhamasishaji maarufu katika mtandao wa TikTok na mwanaharakati wa mitandao Kenya akiwa na programu ya Fumbua wanaungana ili kuondoa kadhia hiyo.
Unaitumiaje mitandao ya kijamii?
Kabla ya kuchapisha ama kusambaza jambo lolote kwenye mitandao ya kijamii je huwa unafikiria litakuwa na athari gani kwa mtu mmoja ama jamii kwa ujumla? Je unaijua athari ya kuchapisha taarifa zisizo na uhakika? Tizama video hii kwa mengi zaidi.
Tanzania yaapa kuwaadhibu wanaotumia vibaya mitandao
Tanzania yaapa kuwaadhibu wanaotumia vibaya mitandao.
Mpango aonya kuhusu uzushi mitandaoni.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dokta Philip Mpango amjitokeza baada ya majuma kadhaa ya uzushi kuhusu hali yake ya kiafya. Akizungumza mbele ya Rais wa Tanzania mjini Dodoma amewataka Watanzania kutumia mitandao ya kijamii kuombeana mema na heri badala ya kuzushiana vifo.
Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya sheria muhimu ya AI
EU kuandaa sheria za kudhibiti miundo ya akili bandia - AI, kama ya ChatGPT, baada ya masaa 36 ya majadiliano.
Kulinda taarifa binafsi kwenye mitandao ya kijamii
Huwezi kuenpuka matumizi ya mitandao ya kijamii katika dunia ya sasa lakini vipi unalinda taarifa zako?
Nyota changa inayong'ara katika sanaa ya uigizaji Tanzania
Nyota inang'ara katika sanaa ya uigizaji kwa msichana mdogo Samira, wazazi wamekuwa na mchanga katika safari yake.
Sema Uvume: Programu ya kuutambua uzushi mitandaoni
Lubega Emmanuel anaangalia programu maalum zinazoweza kutenganisha habari za kweli kutoka za uzushi mitandaoni.
Baadhi ya shule zafungwa Ufaransa kutokana na kunguni
Serikali ya Ufaransa imefanya msururu wa mikutano wiki hii kuchunguza idadi inayoongezeka ya visa vya kunguni
Sema Uvume: Unajuwa kuwa WhatsApp inabadilika?
Kampuni ya Meta ina mipango ya kubadilisha jinsi WhatsApp inavyotumika.
Msichana Jasiri: Unaitumiaje mitandao ya kijamii?
Katikati ya changamoto zinazotokana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, nchini Tanzania anajitokeza binti huyu ambaye anawasaidia wengi kutambua ya kwamba mitandao hii si ya kupotezea muda, bali ina faida. Ni kwa namna gani? Ungana na Tatu Yahya anayetukutanisha na binti huyu katika makala ya Msichana Jasiri.
Musk, Zuckerberg kuzungumzia teknolojia ya akili ya bandia
Marekani inafanyia kazi sheria mpya zinazolenga kudhibiti teknolojia hiyo
Unaweza kutumia mitandao bila kujulikana?
Watu wengi hujaribu njia tofauti zinazowafanya wasitambulike kwenye mitandao ya kijamii, kama vile matumizi ya picha bandia na hata kuwa makini kuhusu taarifa wanazochapisha. Ni kwa kiwango gani unaweza kutumia mitandao bila ya kujulikana? Sema Uvume inajadili hilo kwa kina.
Waganga wa kienyeji wa zama hizi Afrika Kusini
Je, mganga wa kienyeji wa zama hizi anaonekanaje? Nchini Afrika Kusini tunakutana na waganga wa kijadi wa Sangoma wanaojaribu kufafanua upya uponyaji wa kienyeji kwa imani za Kiafrika. Uwepo wa mitandao ya kijamii, na mashauriano ya mtandaoni, wanabadili mitizamo ya mila ili kuendana na maisha ya kizazi kipya.
Somalia yazipiga marufuku TikTok, Telegram na 1XBet
Somalia imepiga marufuku mitandao ya TikTok, Telegram na tovuti ya kamari ya 1XBet.
Utafiti wa chuo kikuu Oxford waitoa kitanzini Facebook
Uchambuzi wa awali na mitazamo iliyoenea juu ya mtandao wa Facebook unakinzana na utafiti uliofanywa na Chuo cha Oxford
Mwangaza wa Ulaya: Mitandao ya Kijamii katika vita vya Ukraine
Tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine Februari 24 mwaka jana, vita hivyo vimedhihirisha uwezo wa mitandao ya kijamii katika mzozo huo. Makala ya Mwangaza wa Ulaya inakufahamisha zaidi kuhusu umuhimu na hatari ya mitandao ya jamii, hasa katika uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Mtayarishaji ni Bakari Ubena.
Vijana Mubashara: Madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili
Kwenye Vijana Mubashara na leo kwenye 77 asilimia tunajadili athari za mitandao ya kijamii kwa afya ya akili, Kutokana na kuongezeka kwa mitandao ya kijamii, idadi ya vijana wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili inaongezeka pia kulingana na uwepo wao mtandaoni. Sulemani Mwiru ndiye muongozaji wa kipindi hiki.
Athari za mitandao ya kijamii kwa afya ya akili
Kutokana na kuongezeka kwa mitandao ya kijamii, idadi ya vijana wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili inaongezeka pia kulingana na uwepo wao mtandaoni. Je, sisi vijana tunatumia njia gani kujiepusha na athari hizi? Sikiliza makala hii iliyotayarishwa na Suleman Mwiru.
Ulaghai wa biashara za mtandaoni
Wafanyabiashara hutumia njia za kuhadaa wateja kufanya manunuzi kwa haraka sana na hivyo kutumia fedha nyingi.
Threads ya Instagram: Meta yapania kuipiku Twitter
Je, Meta itaweza kuishusha Twitter kutoka nafasi yake ya juu kwa app mpya ya Threads?
Siku ya mtoto wa Afrika na mitandao ya kijamii
Siku ya kimataifa ya mtoto wa Afrika inaangalia fursa ya mitandao ya kijamii na changamoto zake
Ulaya kukabiliana na teknolojia ya akili bandia
Umoja huo unahofu kuwa teknolojia ya akili bandia inaweza kuwa ardhi yenye rutuba ya kukuza taarifa za kupotosha.
Vijana Mchakamchaka: Umaarufu mitandaoni na athari zake
Je, umaarufu huo wa mitandaoni unaweza kuwanyima uhuru wa kujihusisha na mambo ya kijamii, au hata kuanzisha biashara?
Elimu ya kupambana na uhalifu mitandaoni Tanzania
Ujio wa simu za kisasa na kukua kwa teknolojia za mawasiliano, kuna ibua changamoto mpya kwa wamiliki na wasimamizi wa asasi na taasisi za kijamii. #Kurunzi
Uongozi na motisha kwa wafuasi
Zuwena Mohammed anajulikana kama Shilole, anaongoza wafuasi zaidi ya milioni 10 kwenye mitandao ya kijamii,
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 4
Ukurasa unaofuatia