You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Facebook
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uongozi na motisha kwa wafuasi
Zuwena Mohammed anajulikana kama Shilole, anaongoza wafuasi zaidi ya milioni 10 kwenye mitandao ya kijamii,
Sema Uvume; Meta yazindua huduma ya kulipia kwenye mitandao
Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram imetangaza kuanza kuwatoza ada ya kila mwezi watumiaji wake wanaotaka tiki ya bluu ikiwa ni mwelekeo kama ule ulionzishwa na Twitter
Serikali ya Tanzania yajiunga na mtandao wa ClubHouse
Serikali ya Tanzania imesema sasa imejiunga na kile kinachojulikana kama jukwaa la mtandao wa kijamii wa Clubhouse.
Hatari ya utamaduni potofu ya 'Slay Queen' na 'Sugar Daddy' Afrika Kusini
Picha kwenye mitandao ya kijamii ya wasichana wasiokuwa na aibu wakijaribu kuonyesha maisha ya kifahari, zimechochea utamaduni wa baadhi yao kushiriki "ngono ya miamala." Tumezungumza na baadhi yao mjini Johannesburg Afrika Kusini na wanathibitisha kuwa maisha ya starehe yana gharama zake. #VijanaMubashara #77asilimia
Sema Uvume: Siku ya kimataifa ya matumizi salama ya Intaneti
Inawezekana ukajiuliza kwamba wewe kama mtu wa kawaida, inawezekana vipi ukalengwa na wahalifu?
Trump kukubaliwa tena kutumia Facebook na Instagram
Kampuni ya Meta inayoumiliki mtandao wa kijamii wa Facebook na Instagram, imesema itazirudisha akaunti za rais wa zamani
Mawasiliano
Tungependa kupokea maoni yako kuhusu tovuti ya DW Kiswahili na vipindi vyetu vya redio.
Asubuhi ya Disemba 24, 2022: Taarifa ya Habari
Zaidi ya watu milioni 200 watahadharishwa kuhusu baridi kali nchini Marekani.// Watu watatu wauawa kwenye shambulizi la risasi mjini Paris Ufaransa na wengine kadhaa wajeruhiwa.// Waasi wa M23 waondoka katika mji walioukamata wa Kibumba mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo
Mmiliki wa Twitter Elon Musk atangaza kuachia ngazi
Mmiliki wa Twitter Elon Musk atangaza kuachia ngazi
Twitter kuanza kuwafuta kazi wafanyakazi wengi Ijumaa
Kampuni ya mawasiliano ya mitandaoni Twitter imesema itaanza kuwafuta kazi wafanyakazi leo Ijumaa.
Vijana Mchakamchaka: Matumizi ya Mitandao ya kijamii
Faida na changamoto za mitandao ya kijamii kwa vijana
Msichana Jasiri:Unaitumiaje mitandao ya kijamii?
Neema Kaniki ni msichana anayeitoa elimu juu ya mitandao ya kijamii licha ya kuwa baadhi ya wasichana wamebaki na alama mbaya anakuwa sehemu ya kuwaelimisha na kuitumia mitandao kwa faida na kuzikamata fursa zinazopatikana mitandaoni anatamani kuwafikia vijana wengi ili wanufaike na elimu anayoitoa.
Ukraine: Diplomasia tu ndio njia pekee itakayomaliza vita
Mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi yamekwama kabisa
Mpango wa Musk na Twitter wazusha hofu ya ukiukaji
Musk ameahidi kulegeza masharti ya maudhui yanayotumwa kwenye mtandao wa Twitter alionunua hivi karibuni
17.01.2022 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kusaidia yatima na watoto walemavu kupitia mitandao ya kijamii
Ester Eddyngton Koka ambaye kwa sasa ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha sheria Tumaini Makumira kilichopo Arusha kaskazini mwa Tanzania, anatumia kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagramu,kuwasilisha matatizo ya watoto yatima na wenye ulemavu ili wasaidiwe kufikia ndoto zao.
Zama za wavujishaji siri katika teknolojia
Frances Haugen ndiye mvujishaji siri za makampuni ya teknolojia kupata umaarufu hivi karibuni baada ya kufichuo maovu ya kampuni ya Facebook. Ingawa kabla yake walijitokeza wengi wakizishutumu kampuni kama Cambridge Analytica, Amazon na Google. Na hiyo msikilizaji ndiyo mada ya katika kipindi hiki cha Sema Uvume. Msimulizi ni Yusra Buwayhid.
Ufichuzi wa siri na uvujishaji taarifa
Katika makala ya Sema Uvume, Yusra Buwahyid anaangazia suala la uvujishaji taarifa katika kampuni. Faida na hatari zilizopo ni zipi? Je wafichuzi wanasema msukumo unatokana na nini? Je uvujishaji taarifa umekusaidia kwa njia gani? Na je upi mustakabali wa muamko wa ufichuzi siri katika makampuni?
Je watoto wako salama wanapotumia mitandao ya kijamii?
Hivi karibuni kampuni ya Facebook na mitandao yake ya Instagram na WhatsApp ilizimika hewani kwa masaa kadhaa. Tafrani hiyo ilitokea siku chache baada ya aliyewahi kufanya na Facebook kutoa ushahidi unaodhihirisha jinsi mitandao hiyo isivyojali usalama na faragha ya watumiaji wake hivyo kuwaathiri watoto. Mengi zaidi ni kwenye Sema Uvume.
Maoni: Kuzima kwa mitandao ya kijamii ya WhatsApp
Mapema wiki hii, ulimwengu ulikumbwa na hali ya mkanganyiko baada ya mitandao ya kijamii kuzimika ghafla kwa masaa kadhaa. Je, ni kwa kiasi gani dunia imekuwa tegemezi kwa mitandao ya kijamii? Ndio mada inayojadiliwa kwenye Maoni mbele ya Meza ya duara. Ungana na Mohammed Khelef akiwa na wachambuzi wa mitandao ya kijamii na wataalamu wa mawasiliano.
Zuckerberg akanusha Facebook kudhuru watoto makusudi
Meneja wa zamani wa bidhaa wa Facebook, Frances Haugen, anaituhumu kampuni yake ya zamani kwa kutokujali madhara yake.
Athari za mitandao ya Facebook kuzimika Tanzania
Mawasiliano ya mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yamerejea tena katika hali yake ya kawaida baada ya kukatika kwa zaidi ya masaa sita hivi. Hata hivyo, ingawa hali ni ya kawaida wakati huu, bado watumiaji wa huduma hiyo wanaendelea kuhisi athari za kukosa mawasiliano hayo ambayo yanachukua sehemu kubwa ya maisha ya kila siku binadamu.
Facebook, WhatsApp, Instagram zarejea baada ya kuzimika
Mitandao tatu ya kijamii yarejea baada ya kuathiri biashara, huduma na mawasiliano ya watu wanaotegemea mitandao hiyo.
Nigeria na Ghana zashindana kuanzisha sarafu za kidijitali
Nigeria na Ghana zashindana juu ya kuanzisha sarafu ya kidijitali katika benki kuu.
Ethiopia yatengeneza jukwaa lake la mtandao wa kijamii
Ethiopia yaanza kutengeneza jukwaa lake la mtandao wa kijamii
Nigeria yataka mitandao ya kijamii iwe na leseni za ndani
Nigeria imeitaka mitandao ya kijamii ijisajilii na kupata leseni ili iweze kufanya kazi kwenye taifa hilo
Mawaziri wa Fedha wa nchi za G7 wakutana jijini London
Waziri wa fedha wa Ujerumani Olaf Scholz amesema kampuni zote, bila ya walakini zitapaswa kufuata sheria mpya.
Vigezo vya kuzingatia unapoomba au unapokubali urafiki mitandaoni
Je ni mambo gani unazingatia kabla ya kumtumia mtu ombi la urafiki, kukubali ombi la urafiki au kukataa ombi la urafiki kwenye mitandao ya kijamii? Haya ni maoni ya baadhi ya vijana kutoka Dar es Salaam.
Athari za kuandika mitandaoni kutokana na msukumo wa hisia
Kwenye vijana Mchakamchaka leo tunakuuliza je hisia zako huchangia vipi kuhusu yale unaandika kwenye mitandao ya kijamii? Hali hiyo ya kuandika mitandaoni kulingana na hisia zako zinaweza kukuathiri vipi? Mengi zaidi na Saumu Njama
Mitandao ya kijamii na utoaji wa elimu ya jinsia
Katika makala ya Sema Uvume Dotto Bulendu anazungumzia mfumo wa kidigitali wa I-Shangazi, ambao umesheheni taarifa zote muhimu zitakazowasaidia watoto na jamii kwa ujumla juu ya elimu jinsia na namna ambavyo wanaweza kuepuka mimba za utotoni.
Wizi wa mitandaoni
Kwenye Vijana Tugutuke, tunakupeleka Dar Es Salaam, na mada kuu tunayojadili na vijana ni kuhusu wizi wa mitandaoni. Anayeongoza mjadala huu ni Anuary Mkama. Je vijana wanazungumziaje kadhia hiyo? Hebu tuwape sikio.
Mtandao wa Facebook wazimwa Myanmar
Majenerali wa Myanmar wameamuru watoa huduma za mtandao kuuzuwia Facebook.
Athari za kufungwa mitandao ya kijamii Uganda
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Uganda wanaendelea kuwa gizani, baada ya serikali kusema kwamba majukwaa hayo bado ni tishio kwa usalama wa kitaifa. Wakati huohuo, rais Yoweri Museveni amekariri kwamba yuko tayari kuzungumza na upinzani, ila hataki kuwahusisha wapatanishi wowote.
Rais Yoweri Museveni afungia Facebook nchini Uganda
Museveni afungia Facebook na mitandao mingin ya kijamii kuelekea uchaguzi mkuu
Maoni: Kumfungia Trump mitandao ya kijamii haitoshi
Mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imemfungia Rais wa Marekani Donald Trump kutumia mitandao hiyo. Hii ni hatua
Vijana na ajira au biashara mitandaoni
Je wewe unatumia mitandao ya kijamii kwa manufaa gani? Je inakuingizia kipato? Hebu tizama video hii kuhusua namna baadhi ya vijana katika mji wa Dar Es Salaam wanatumia mitandao kufany abiashara lakini pia hisia za vijana wengine kuhusu biashara ya mitandaoni. Msimulizi ni Hawa Bihoga
Tanzania: Kwa nini intaneti kusuasua kipindi cha uchaguzi?
Unyanyasaji wasababisha wasichana kuacha kutumia mitandao
Shirika la Plan International limesema unyanyasaji wa mitandaoni umesababisha wasichana kutotumia mitandao ya kijamii.
Ni vipi mtandao wa LinkedIn husaidia kukuza taaluma?
Katika Sema Uvume leo utafahamishwa juu ya mtandao wa kijamii wa Linkedln ambao kidogo upo tofauti na mitandao mingine unayoifahamu, na jinsi gani mtandao huo unaweza kukusaidia katika kukuza taaluma yako. Mengi zaidi na Sylvia Mwehozi
Facebook, Twitter zamlenga Trump 'kwa habari za kupotosha'
Facebook yafuta chapisho la Trump ambalo kampuni hiyo inasema lilikiuka sheria zake kuhusiana na virus vya corona.
Uturuki yaidhinisha sheria ya mitandao yenye nguvu mpya
Sheria hizo inazitak pia kampuni za mitandao kuhifadhi mawasiliano ya watumiaji.
DJ wa kike 'Sweet Lady' anayetia fora mitandaoni Tanzania
Kwenye kipindi cha Karibuni, safari hii tumemualika studioni DJ wa kike kutoka Tanzania ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni hasa kwa kupiga miziki inayosifu chama cha mapinduzi, dj Sweet Lady. Utasikia pia shairi pamoja na 'Je Umeipata hiyo?' Nahodha wako kwa siku ya leo ni Sylvia Mwehozi.
Jinsi ya kujilinda na mashambulizi ya mitandaoni
Watu ambao wanaunga mkono taarifa za uzushi huwa wanaandaa mkakati wa kuwashughulikia waandishi wa habari na wanaharakati wanaojaribu kuchuja pumba na chuya. Je, jinsi gani unaweza kujilinda na mashambulizi ya mitandaoni ukiwa unapinga taarifa za uwongo?
Jinsi ya kuepuka habari feki kuhsusu corona
Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi anatoa mbinu za kupambana na habari feki mtandaoni, hasa zinazohusiana na COVID-19.
Mshirika wa Marcon ajitoa kwenye kinyang’anyiro cha umeya
Benjamin Griveaux alijiuzulu kazi ya uwaziri mwaka jana ili kushiriki katika mbio za meya.
Facebook yaondoa akaunti za bandia za Urusi
Zinahusishwa na na tajiri wa Urusi aliyewahi kushitakiwa na Marekani kwa kufadhili uingiliaji wa uchaguzi wa 2016
Ufaransa yapitisha kodi dhidi ya makampuni ya kiteknolojia
Baraza la Seneti la Ufaransa limeidhinisha kodi kwa kampuni za masuala ya kiteknolojia.
Mitandao ya Kijamii yalaumiwa kusambaa kwa Habari za Uongo
null
Propaganda za siasa kali kuathiri uchaguzi wa bunge la Ulaya
Bunge la Ulaya na siasa kali dhidi ya wageni
Mitandao ya kijamii yasaini mpango wa kuzuia ujumbe wa chuki
Makampuni ya mitandao yaungana na serikali kupiga vita ujumbe wa chuki
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 4
Ukurasa unaofuatia