You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Facebook
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zitambue habari feki mtandaoni
Mitandao ya kijamii inasaidia kuijenga dunia ya sasa kwa kuwaunganisha watu kutoka kila pembe na kuwapa jukwaa la kutuma ujumbe ama kuwasiliana. Kuandika habari ili kudanganya au kuburudisha sio kitu kipya. Lakini kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii kuna maana kuwa habari za kweli na feki zinaletwa kwako katika njia ile ile ambapo wakati mwingine inakuwa vigumu kutofautisha kweli na feki.
Mwanasiasa Steinbach ajitoa chama cha CDU
Magazeti ya Ujerumani yamemulika kujiuzulu kwa mwanasiasa Erika Steinbach pamoja na mkutano wa mjini Paris
Matumizi mabaya ya "Facebook"
Kumekuwepo na ongezeko la matumizi mabaya ya mitandao na kusababisha athari kubwa. Mtandao wa Facebook nao umekumbwa na dhahama hiyo. Nini kinafanyika sasa, kukabiliana na madhara zaidi Sikiliza makala haya ya Sema Uvume, lakini pia ujifunze kwenda "live" kupitia Twitter.
Facebook yakabiliwa na habari za uwongo mtandaoni
Si kila unachokisoma mtandaoni ni cha kweli. Taarifa za uwongo zinazosambazwa katika mtandao wa Facebook zimezua gumzo kubwa duniani kote, miezi ya hivi karibuni. Sema Uvume inaangalia namna ya kujikinga na taafira za uwongo, na namna ya kwenda Live kwa vidio katika mtandao mwengine wa Twitter.
VIJANA NA MITANDAO YA KIJAMII
Vijana na mitandao ya kijamii
Ifahamu Facebook Messenger na faida zake
Zipo programu nyingi tunazipakua katika simu zetu na mara nyingi tunafahamu matumizi ya aina moja tu. Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi atakueleza kwa upana mambo matano ambayo unaweza kuyafanya kwa kutumia programu ya Facebook Messenger na pia utasikia shindano jipya la ubunifu nchini Tanzania.
Utumiaji wa mitandao ya kijamii katika vyombo vya habari
Majadiliano ya Kinagaubaga kati ya mwandishi wa DW Mohammed Khelef na Tom Japani, Mkurugenzi wa Redio Maisha nchini Kenya juu ya changamoto za utumiaji wa mitandao ya kijamii, katika vyombo rasmi vya habari.
Twitter yatimiza miaka 10
Tangu ulipoanzishwa mtandao huo wa kijamii umepata watumiaji milioni 320 wanaoshirikishana habari na picha kila siku.
‘Ukimbizi ni madhila, lakini si mwisho wa maisha’
Tarehe 22 Februari 2016, ukurasa wetu wa Facebook ulikuwa na makala ya mkasa wa wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania.
Marekani yalaani kukamatwa kwa Besigye
Kizza Besigye ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani alikamatwa kwa muda na polisi
App ya Uber yatishia madereva taxi Nairobi
Sema Uvume wiki hii inaangalia mzozo wa App ya Uber na waendesha taxi Nairobi na umuhimu wa WhatsApp kwa jamii.
Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii
Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii
Mitandao ya kijamii imeongeza maambukizi ya Ukimwi
Watafiti wanaonya kuwa mitandao ya kijamii na Prograu au Apps ua kuwatafuta wenza vinachangia katika maambukizi ya Virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana
Mawasiliano ya kisasa yamekuwa njia rahisi kusambaza maradhi
Mitandao ya kijamii yachangia maradhi ya zinaa miongoni mwa vijana
Dola la Kiislamu ladukuliwa mtandaoni
Kundi la wadukuzi "hackers" la Anonymous limeapa kutokomeza akaunti za Dola la Kiislamu kwene mitandao ya kijamii.
Mitandao ya kijamii kwenye uchaguzi Tanzania
Vyama vya siasa vya Tanzania vinatumia mitandao ya kijamii kufikisha taarifa na matangazo moja kwa moja kwa wapiga kura.
Sheria ya makosa ya mtandao yaanza Tanzania
Waandishi wa habari wakosoa sheria hiyo mpya wakisema inawanyima uhuru wa kutoa maoni
Kongamano la Kimataifa la Vyombo vya Habari
Kongamano la Kimataifa la Vyombo vya Habari
Usalama wa Mitandao ya Kijamii
Mitandao ya kijamii imeendelea kutumiwa vibaya kama vyombo vya kuchochea itikadi kali
Matumizi ya mitandao ya kijamii- Mahojiano
Ipo haja ya kudhibitiwa kwa mitandao ya kijamii kwa lengo la kuepusha athari zake.
Tanzania: Kampeni dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania TCRA inaendesha kampeni inayolenga kukabiliana na matumizi mabaya ya mitandao ya mawasiliano, ikiwemo ya simu na intaneti, maarufku kama "Futa-Delete-Kabisa.
Kiswahili kwenye mitandao
Matumizi ya mitandao ya kijamii yanatajwa kuinufaisha lugha ya Kiswahili kwa kupata kwake jukwaa pana zaidi la kujitangaza, kujitanua na kujieleza kwa ulimwengu.
Unaijua Facebook 'Zero'?
Je, unajua kuwa unaweza kuupata mtandao wa kijamii wa Facebook kwa gharama ndogo kabisa kwenye simu yako ya mkononi au pengine hata bila ya gharama yoyote ukitumia teknolojia mpya iliyopewa jina la Facebook 'Zero'?
Marafiki wa kalamu wangalipo?
Kuandikiana barua kwa marafiki lilikuwa jambo muhimu, la kistaarabu na la kuwaunganisha watu kutokea pande mbalimbali ulimwenguni kabla ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii kuchukuwa nafasi ya mahusiano hayo.
Wahariri waitaka China ijali haki za binadmu
Wahariri wanazungumzia juu ya mkasa wa mpinzani asiyeona nchini China, kampeni ya uchaguzi nchini Marekani na juu ya soko la ajira nchini Ujerumani.
Mitandao ya kijamii yawa eneo jipya la kutafutia wachumba
Kuibuka kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Sykpe kumekuwa kichocheo kipya cha kujenga mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa watumiaji wake, ambao wengi wao ni vijana katika mataifa yanayoendelea.
Mitandao ya kijamii kushiriki uchaguzi Zambia
Wakati Wazambia wanapiga kura tarehe 20 Septemba, watakuwa na timu ya waangalizi makini kufuatilia mchakato huo, kupitia mitandao ya kijamii, ambamo wanaweza kuripoti makosa na ukiukaji wa taratibu katika uchaguzi huu.
-
-
Deutsche Welle Facebook
Deutsche Welle inatoa nafasi ya kubadilishana mawazo na kujadiliana kupitia mitandao yake ya kijamii ya DW-WORLD.DE, Facebook, Twitter na majukwaa mengineyo.
120710 Johnathan Facebook
Siasa kwenye mtandao wa mawasiliano wa intaneti! Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amejiunga na viongozi wengine mashuhuri ulimwenguni kutumia tovuti ya kijamii ya facebook kuwasiliana na kujadiliana na wananchi wake
04 Beziehungsformen
Eine Beziehung kann man auf ganz unterschiedliche Art führen. Ob man sich auf eine Fernbeziehung einlässt oder mit dem Partner zusammenzieht, hängt sowohl von den eigenen Vorlieben, als auch von den äußeren Umständen ab.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 4
Ukurasa unaofuatia