1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani Neuer avunjika mguu

15 Desemba 2022

Nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer awekwa kando ya ushiriki wa ligi ya Ujerumani katika msimu huu baada ya kuvunjika mguu wakati akicheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu.

https://p.dw.com/p/4Ky2K