1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kompany aongoza mazoezi ya Bayern Munich kwa mara ya kwanza

1 Agosti 2024

Vincent Kompany amewatoa jasho wachezaji wa Bayern Munich kwa mara ya kwanza hadharani tangu achukue mikoba ya kuinoa klabu hiyo. Wachezaji wa Bayern wamekita kambi ya mazoezi mjini Tegernsee, jimbo la Bavaria kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu mpya wa Bundesliga.

https://p.dw.com/p/4j0xn
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi Ujerumani

Vidio ya habari na matukio