Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Katika Vijana Mubashara wiki hii kijana tunakuuliza ni kwanini katika ulimwengu wa sasa bado wanawake hawapewi haki sawa na wanaume?