1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Uchumi wa ulimwengu utakuwaje mwaka 2023?

Josephat Charo6 Januari 2023

Moni kwenye meza ya Duara wiki hii yanaangazia hali ya uchumi wa ulimwengu wakati ripoti ya shirika la fedha duniani IMF likiwa tayari limetoa makisio yake kwamba kutashuhudiwa mtikisiko hata zaidi kwa mwaka huu wa 2023 katika sekta ya uchumi duniani. Wataalamu wanakutana hapa kujadili ripoti hii kwa kina, wakiongozwa na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4Lou1