1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda itatamba mbele ya Bafana Bafana?

20 Novemba 2023

Timu ya taifa ya kandanda ya Rwanda Amavubi stars baada ya kutoka sare na Zimbabwe bila ya kufungana Jumatano wiki iliyopita, ina kibarua kumenyana Jumanne na timu ya taifa ya nchi hiyo Bafana Bafana. Isikilize ripoti yake Christopher Karenzi kutoka Kigali, Rwanda.

https://p.dw.com/p/4ZDkl
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild I Kinderarbeit in Honduras
Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance Picha: Rafael Ochoa/Photoshot/picture alliance

Michezo