You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maoni: Siku ya Wanawake haina mengi ya kuadhimisha Afrika
Machi 8 ni siku ya kimataifa ya wanawake. Lakini hakuna mengi ya kusherehekea Africa, anaadika Mimi Mefo.
Wanawake Zimbabwe wapambana dhidi ya ubaguzi wa kijinsia
Kwenye karatasi, Zimbabwe ina sheria zinazohakikisha haki za wanawake. Lakini ukosefu wa utekelezaji unawaacha njiapanda
Covid huenda ikasababisha mamilioni ya ndoa zaidi za utotoni
Covid-19 imeifanya hali ambayo tayari ni ngumu kwa mamilioni ya wasichana kuwa mbaya zaidi.
Virusi vyaua wanaume wengi kuliko wanawake, Afrika
Wanawake wanaonekana kuathiriwa kijamii zaidi na janga hilo kuliko kiafya
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Dahomey
Ufalme wa Dahomey wakati mmoja ulikuwa maarufu Afrika Magharibi. Hilo ni kutokana na ushujaa wa kikosi chake cha kike.
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Dahomey
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Ufalme wa Dahomey
Ni ukweli usiopingika kwamba Ufalme wa Dahomey uliokuwa ukitawala kati ya karne ya 17 hadi ya 19 katika eneo lijulikanalo leo hii kama Benin, uliweza kustawi kutokana na kikosi cha mashujaa wa kike kilichoitwa Dahomey Amazons.
Upangaji uzazi
Upangaji uzazi ni muhimu ili uweze kuihudumia familia yako vyema. Hukuwezesha kiyakimu mahitaji ya familia bila ya shinikizo. Lakini je watu wote wana ufahamu kuhusu umuhimu wa kupanga uzazi? Kwenye vidio hii ya Kurunzi Afya, tunajibu hilo swali na mengine mengi.
Msichana Jasiri: Msichana mchuuzi wa maji Dar Es Salaam
Mtaji wa shilingi 2600 imemuongezea thamani ya upambanaji Katika biashara yake ya kuuza maji Katika foleni za jiji kuu la kibiashara Tanzania. Je wewe unaeza kufanyia nini shilingi 2600 za Tanzania, endapo uko nchini humo? Tazama video hii ya Msichana Jasiri, mtangazaji chipukizi Hadija Halifa akujuze zaidi
Rais Kenyatta awahimiza wanawake kujitosa katika biashara
Viongozi na wakuu wa Umoja wa Afrika wamewahimiza wanawake barani Afrika kujitosa katika sekta ya biashara.
Mitandao ya kijamii na utoaji wa elimu ya jinsia
Katika makala ya Sema Uvume Dotto Bulendu anazungumzia mfumo wa kidigitali wa I-Shangazi, ambao umesheheni taarifa zote muhimu zitakazowasaidia watoto na jamii kwa ujumla juu ya elimu jinsia na namna ambavyo wanaweza kuepuka mimba za utotoni.
Wasichana 700 waokolewa dhidi ya ukeketaji Tanzania
Zaidi ya wasichana 700 Tanzania wameokolewa dhidi ya kukeketwa katika mwaka wa 2020
Je mila na fikra potovu huchangiaje manyanyaso ya kijinsia?
Wakati dunia ikifanya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, nchini Tanzania mila na masuala ya kiuchumi inaelezwa kuwa miongoni mwa mambo yanayochangia unyanyasaji na ukatili wa kijinsia. Hebu tazama na usikilize maoni ya baadhi ya wakaazi wa Dar Es Salaam kuhusu hilo.
Mwanadada aliyetengeneza Hedhi App inayotoa msaada kwa wanawake
Kutana na Flora Njelekela mwanaharakati wa masuala ya hedhi salama ambaye ameamua kutengeneza programu ya simu ambayo inatoa msaada kwa wanawake katika masuala yote ya hedhi ikiwemo taarifa sahihi na kuwakutanisha wanawake na madaktari ili kutatua changamoto za wakati wa hedhi. Video na Hawa Bihoga.
Makala zetu 29.11.2020
Sikiliza baadhi ya makala tuliyokuandalia
Tanzania: Mtandao wa wafanyabiashara Mtwara
Hebu fikiria maisha ya sasa yangekuwaje bila teknolojia? Kwa hakika mapinduzi ya teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha ya kila siku. Katika makala ya Wanawake na Maendeleo Salma Mkalibala anamuangazia Hellen Mchomvu, mwanamke aliyeanzisha mtandao wa wafanyabiashara kwa kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa kupitia mitandao ya kijamii.
Juhudi za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake
Kipindi cha Maoni safari hii kinaangazia kampeni ya kupinga na kukomesha ukatili dhidi ya wanawake. Nahodha wa kipindi ni Josephat Charo.
Kuwatambua wanaojihisi kuwa wa jinsia tofauti na hisia zao
Makala ya Mbiu ya mnyonge hii leo inajikita kwenye juhudi za kuwatambua walio na jinsia isiyofanana na hisia zao. Sikiliza ufahamu mengi zaidi. Msimulizi ni Thelma Mwadzaya
Wanaharakati Tanzania wapinga mila za kunyanyasa wanawake
Wanaharakati mkoani Shinyanga, Tanzania wanaonya kuwa, baadhi ya mila zinazoendelezwa huko zinachochea udhalilishaji wa wanawake. Miongoni ni ile inayohusisha kuoshwa mabinti kwa dawa za kienyeji ili wapate mvuto wa kuolewa.
Kampeni ya siku 16 kupinga ukatili dhidi ya wanawake Burundi
Zaidi ya wanawake 13,000 walinyanyaswa Burundi mwaka 2019
Tanzania: Kinyozi mwanamke
Wanawake wanaendelea kufanya kazi zilizokuwa zikionekana kama kazi za wanaume hapo awali. Leo tunaye Maisha Salum, Kinyozi mwanamke wa huko Mtwara Tanzania. Anasema hii ni kazi anayoipenda licha ya changamoto za kutoaminiwa na baadhi ya wanaume. Wewe umeshawahi kukutana na kinyozi mwanamke? Huduma yake ilikuwaje? Tupe uzoefu wako.
Tanzania: Wito watolewa wa kukomesha unyanyasaji wa kingono
Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imeanza
Siku ya Kimataifa Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake
Kila Novemba 25, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kupambana na Ukatili Dhidi ya Wanawake.
Juhudi za wanawake wa Kenya katika kulinda amani
Makala ya Wanawake na Maendeleo inaangalia jinsi wanawake nchini Kenya wanavyochangia juhudi za kudumisha amani
Ujasiriamali wakati wa janga la COVID-19 visiwani Zanzibar
Makala ya Wanawake na Maendeleo inawamulika wanawake visiwani Zanzibar waliotumia janga la Corona kufanya biashara.
Covid-19 yaongeza vurugu dhidi ya wakimbizi wanawake
Uchunguzi umebainisha kuwa ukatili umeongezeka kwa zaidi ya asimilia 70, miongoni mwa wakimbizi wa ndani wanawake.
Kombe la dunia la wanawake ifikapo mwaka 2027
Australia ikishirikiana na New Zealand ni mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia kwa wanawake mwaka 2023.
Mwanamke mwendesha trekta na pia mtangazaji wa redio Ghana
Kilimo ndiyo kitega uchumi kikuu kwa wakaazi wengi kaskazini mwa Ghana. Hikimitu Kediri ni mtangazaji wa Habari katika redio na pia mkulima wa kwanza wa kike kupata leseni ya kuendesha trekta kaskazini mwa Ghana. Anawahimiza wanawake wengine kama yeye kufanya kilimo.
Kauli ya kibaguzi ya Magufuli yaibua hisia Tanzania
Rais John Magufuli katika kampeni huko Dar es Salaam aliwataka wapiga kura kumchagua mgombea mmoja mwanamke kwa kusifia weupe wake. Matamshi yake yametafsiriwa kama ubaguzi dhidi ya wanawake weusi. Sikiliza mahojiano kati ya Babu Abdalla na mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za wanawake nchini Tanzania TGNP Hellen Kijo Bisimba.
Wanawake wa Maasai Tanzania na uvunaji asali
Makala ya Wanawake na Maendeleo safari hii inaangazia juhudi za wanawake wa jamii ya katika ufugaji nyuki na urinaji asali nchini Tanzania. Veronica Natalis na mengi zaidi
Vita dhidi ya utamaduni wa kuwakeketa wasichana katika jamii ya Wamaasai
Ukeketaji umesalia kuwa kati ya tamaduni zinazowasababishia wasichana wengi changamoto za kiafya ikiwemo kifo. Ajabu ni kwamba katika baadhi ya jamii, utamaduni huo ungali unaenziwa. Mshindi wa zamani wa urembo nchini Tanzania Diana Edward Lukumai anatumia umaarufu wake kuukomesha utamaduni huo.
Unyanyasaji wasababisha wasichana kuacha kutumia mitandao
Shirika la Plan International limesema unyanyasaji wa mitandaoni umesababisha wasichana kutotumia mitandao ya kijamii.
Mimba za utotoni kwa wasichana wa mitaa ya mabanda Kenya
Uzazi ni jambo zito kwa mwanamke, hata hivyo ulezi unapoanza mapema mambo yanabadilika. Wasichana wanaoishi katika mitaa ya mabanda Kenya wapo hatarini kutumbukia katika hilo kwasababu ya hali za nyumbani. Makala yetu leo inaangazia hilo na msimulizi ni Thelma Mwadzaya.
Janga la Corona latishia kurudisha nyuma masuala ya afya
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema janga la virusi vya corona linatishia kurudisha nyuma hatua katika masuala ya afya.
Wanawake wanaweza: Mwenyekiti wa kata ya Enguserosambu wilaya ya Ngorongoro
Nani kasema wanawake hawawezi? Kutana na mwanamke wa kimaasai Noorkiyengop Mbama ambaye ni Mwenyekiti wa kata ya Enguserosambu wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha kaskazini mwa Tanzania. Mbama ni mwanamke wa kwanza kuiongoza kata hiyo ya Enguserosambu.
Zanzibar: Wanawake wachuuzi wa samaki minadani Pemba
Karibu kwenye minada ya samaki kisiwani Pemba utawakutana na wanawake hawa ambao wameanza kushuhudiwa wakiwa sehemu ya kukuza pato kwa kushiriki minada ya ununuzi na uuzaji wa samaki ili kujisaidia kujikimu, kujiimarisha kiuchumi pamoja na kusaidia familia zao. Ahmad Juma na mengi zaidi kwenye Kurunzi ya Wanawake
Wanawake kuongezwa biashara ya bodaboda, Kenya
Changamoto za kiusalama, dhuluma za kijinsia na unyanyapaa ni baadhi ya sababu zinazowazuia wanawake kujiunga.
Utengenezaji wa meko kwa njia ya ufinyanzi
Ufinyanzi wa vyungu ni sanaa ya zamani. Hata hivyo ufinyanzi bado unatumika na si kufinyanga vyungu tu bali pia kutengeneza meko au majiko ambayo yanahifadhi nishati. Mama kwa jina Marry Gilbert Shayo anaendeleza sanaa hiyo mjini Dar es Salaam Tanzania. Ahmad Juma anakufahamisha zaidi kwenye Kurunzi ya Wanawake.
2020: Miaka 60 tangu kuzinduliwa vidonge vya kuzuia ujauzito
Maisha ya wanawake wakati huo yalielekezwa katika kutambua kwamba haikuwezekana kutoa ujauzito.
Wanawake Pakistan wavunja miiko ya mahusiano kwenye Tinder
Wanawake nchini Pakistan wamechangamkia app za mahusiano kama Tinder kuamia maisha yao ya kimapenzi
Mwanamke dereva wa lori la taka Mombasa
Makala ya Wanawake na Maendeleo leo inamuangazia mwanamke mmoja dereva wa lori la taka mjini Mombasa maarufu kama Mama Chiku Mohammed. Utasikia changamoto katika kazi yake na pia mafanikio aliyopata kutokana na kazi hiyo. Nahodha wako ni Fathiya Omar.
Mauaji ya wanawake Uturuki! Kulikoni?
Kipindi cha Mwangaza wa Ulaya safari hii kinamulika mauaji dhidi ya wanawake nchini Uturuki. Inakadiriwa kuwa kwa wastani mwanamke mmoja huuawa nchini humo kila siku. Kadri siku zinavyosonga ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya. Hayo ni kwa mujibu wa mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo. Iddi Ssessanga analiangazia janga hilo pamoja na maandamano ya kuyapinga mauaji hayo.
Wanawake Uganda sasa kushiriki kuandaa wosia wa mirathi
Wanawake Uganda sasa kushiriki kuandaa wosia wa mirathi
Corona: Wanawake Tanzania walia athari za COVID19 kibiashara
Wanawake wahofia mali zao zitachukuliwa kwa kushindwa kulipa mikopo kutokana na COVID-19
Ukeketaji wa wanawake: Waathiriwa elfu 68 Ujerumani
Idadi ya waathiriwa wa ukeketaji wa wanawake Ujerumani yakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 44 kutoka mwaka 2017
Wabunge Marsabit wataka operesheni dhidi ya bunduki haramu
Wabunge wadai bunduki haramu zinatumiwa kuwaua watu kila mara Marsabit
Dhuluma za polisi nchini Kenya
Katika mitandao ya kijamii hivi karibuni nchini Kenya, kulisambaa video iliyowanasa maafisa wa polisi wakimpiga mwanamke aliyekuwa nusu uchi, akiwa amefungwa kamba kwenye pikipiki na kuburutwa ardhini. Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanalaani ukatili wa polisi, na wanachotaka ni haki kwa Mercy Cherono.
Wolfsburg yashinda Bundesliga wanawake
Joelle Wedemayer wa Wolfsburg ameanza kufunga na Pernille Harder pia akakata kamba.
Uchuuzi wa samaki mkoani Mtwara Tanzania
Kutana na kina mama wachuuzi wa samaki katika maeneo mbalimbali mkoani Mtwara Tanzania. Hii inadhiirisha juhudi zifanywazo na wanawake katika kujikomboa kimaisha na kiuchumi.
Magumu yanayowakabili wanawake kutokana na COVID-19
Kutokana na janga la virusi vya corona kusimamisha kazi nyingi nchini Kenya, takwimu zinaonyehsa kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanaotegemewa na familia zao wamepoteza ajira na kushindwa kujikimu kimaisha. Ungana na Wakio Mbogho ujue magumu wanayoyapitia wanawake katika wakati huu wa ugonjwa wa COVID-19.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 21
Ukurasa unaofuatia