You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Museveni aitetea sheria ya kupinga ushoga
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameutetea uamuzi wake wa kutia saini na kuufanya kuwa sheria, muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Museveni serikali yake iko tayari kunyimwa misaada na vikwazo kutoka kwa mataifa ya Magharibi.
Museveni akaidi miito iliyomtaka afute sheria dhidi ya LGBTQ
Tangazo la pamoja la mashirika ya kutetea haki za binadamu limeilaani sheria hiyo
Mfahamu Bi Jackline George, msanii wa uchoraji
Kipindi cha Wanawake na maendeleo kinammulika Bi Jackline George, ambaye ni msanii wa uchoraji na anayetumia umahiri mkubwa kupeleka ujumbe wake kupitia picha. Ana lipi la kukushirikisha kuptia makala haya? Karibu uungane na Alex Mchomvu aliyezungumza na mama huyu aliyeachana na uandishi wa habari akajiingiza kwenye sanaa hiyo.
Biden akosoa sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Ametoa wito wa kufutwa mara moja kwa hatua hizo mpya na kali
Uganda: Sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yakemewa
Kundi moja limewasilisha shauri kwenye mahakama ya kikatiba kupinga sheria hiyo likidai kuwa ni batili.
Museveni asaini sheria ya mapenzi ya jinsia moja
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameusaini muswaada tete dhidi ya mapenzi kati ya watu wa jinsia moja kuwa sheria.
Mateso ya Taliban kwa wanawake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Mashirika ya haki za binadamu yamevitaja vikwazo vya Taliban kwa wanawake kama 'uhalifu dhidi ya ubinadamu'.
Vizuizi dhidi ya wanawake ni uhalifu dhidi ya ubinaadamu
Vizuizi dhidi ya wanawake ni uhalifu dhidi ya ubinaadamu
Zaidi ya wanawake 30 wametekwa nyara Cameroon
Wanawake 30 wametekwa nyara Cameroon na wanamgambo wanaopigania kujitenga
Mwanamke wa Kibra atengeneza matofali ya kipekee
Mwanamke mmoja wa Kibra, Nairobi Kenya ambaye amepata suluhisho ya kujenga nyumba za bei nafuu kwenye mitaa duni.
Kiongozi wa mtandao wa kuwasafirisha wanawake anyongwa Iran
Iran imesema leo kuwa imemnyonga kiongozi wa mtandao uliokuwa ukiwasafirisha wanawake kwa ukahaba.
Mwanadada aliyepika kwa zaidi ya saa 100 bila kupumzika
Kurunzi Wanawake leo inamulika rekodi iliyowekwa na mwanadada na mpishi wa Nigeria Hilda Baci aliyepika vyakula kwa zaidi ya saa 100 na kuipita rekodi ya 2019. Hakuwa anashindana na mtu bali dhamira yake ilikuwa ni kuvunja rekodi ya dunia #kurunziwanawake.
Edna Adan Ismail kutoka Somaliland ashinda tuzo ya Templeton
Mshindi wa tuzo ya Templeton mwaka 2023 yenye thamani ya dola milioni 1.4 ni Edna Adan Ismail.
Tiba kwa akina mama waliopoteza watoto wao
Kwa akina mama, kupoteza mtoto baada ya kuzaliwa ni uzoefu wa kutisha. Sasa, shirika lisilo la kiserikali la Kenya linasaidia akina mama kukabiliana na uchungu wa kihisia wa vifo vya watoto wachanga. Vifo vya watoto wachanga katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwa sasa vinafikia vifo 21 kwa kila watoto 1,000 wanaozaliwa, kulingana na utafiti wa hivi karibuni. #KurunziWanawake
Unyanyasaji wa kingono waongezeka mjini Goma, DRC
Wanawake wamekuwa ni walengwa wakubwa linapokuja suala la unyanyasaji wa kingoni na hasa katika maeneo ya vita.
Elimu ya Sayansi na Hisabati kwa wasichana Tanzania
Tanzania imeanzisha mpango maalumu wa kusaidia kuinua kiwango cha ushiriki na ufaulu wa wasichana katika masomo ya sayansi na hisabati kwa lengo kuongeza wataalamm wa sayansi, madaktari na wahandisi. Sikiliza Makala Yetu Leo, ufahamu zaidi.
Wafahamu 'Wanawake wa Madirisha' Tanzania
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, safari hii utawasikia wanawake waanzilishi wa viwanda vidogo vya uzalishaji bidhaa mbalimbali. Wao ni maarufu kwa jina 'Wanawake wa Madirisha'. Wanafanya juhudi kubwa kuhamasisha wanawake wenzao kujikita kwenye uzalishaji kupitia ushirikiano wa pamoja.
Wanawake na Maendeleo: Ma-DJ wa kike watawala muziki Misri
Wanawake wa Misri wameona njia ya kujieleza na kujipatia riziki kwa kuwa ma-DJ wa kumbi za starehe.
Kwa nini wanawake wengi hawapandishwi vyeo licha ya kufuzu?
Ripoti iliyotolewa na taasisi ya masuala ya kiuchumi nchini (IEA Kenya) inasema kuwa wanawake wengi katika taifa la Kenya wamehitimu katika viwango tofauti vya masomo lakini wengi hawajafanikiwa kupata nafasi za kazi walizosomea.
FE: Frauen 03/04/05.05.2023 Women qualifications - MP3-Stereo
Kipindi cha wanawake na maendeleo hii leo kinajikita huko nchini Kenya kikiangazia suala zima la wanawake ambao pamoja na kwamba wengi wamefuzu kufanya shughuli mbalimbali lakini hawapatai fursa ya kuajiriwa. Kulikoni? Ungana na Wakio Mbogho kwa mengi zaidi.
Uganda yapitisha muswada wa sheria ya mapenzi ya jinsia moja
Jumuiya ya kimataifa imeukosoa vikali muswada huo unaoonekana kuwa mkali zaidi dhidi ya watu hao.
Mataifa yajadili haki za wanawake wa Afghanistan
Taliban zimeanzisha msururu wa sheria kali tangu serikali iliyoungwa mkono kimataifa ilipoondoka Agosti 2021.
Umoja wa Mataifa wafanya mazungumzo kuhusu Afghanistan
Mkutano huo una lengo la kufikia maelewano ya jumuiya ya kimataifa kuhusu jinsi ya kushirikiana na watawala wa Taliban.
Umoja wa Mataifa walaani Taliban "kuwakandamiza" wanawake
Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kulaani marufuku iliyowekwa na utawala wa Taliban dhidi ya wanawake kufanya kazi.
Fahamu mradi wa wanawake wenye ulemavu wa ngozi Uganda
Nchini Uganda, watu wenye ulemavu wa ngozi bado wanakabiliwa na dhulma nyingi dhidi yao licha ya harakati za wadau mbali mbali kutokomeza dhulma hizo. #Kurunzi
Mabaraza ya maaskofu: Wanawake kuruhusiwa kupiga kura
Nusu yao watakuwa wanawake na watakuwa na haki ya kupiga kura.
Mfahamu Aika mpishi maarufu wa supu ya kongoro Moshi
Aika Isaya ni mjarisiamali ambaye anakidhi maisha yake kwa biashara ya supu na vinywaji vya moto. Miongoni mwa supu ambazo hupikwa hapo , supu ya kongoro ndio hupendwa zaidi, na wateja hupenda kupata supu hiyo na kitafunwa cha chapati. #kurunziwanawake
Nigeria:Jeshi lakanusha vitendo vya utoaji mimba kwa mateka
Ripoti iliyotolewa mwezi Disemba 2022 ilidai kuwa jeshi lilisimamia takriban vitendo 10,000 vya uavyaji mimba.
Wahafidhina wa Kanisa la Kianglikana wakutana Kigali
Mkutano huo wa mjini Kigali unafanyika wiki mbili baada ya kanisa hilo la England kubariki ndoa za watu wa jinsia moja
Wanawake Ghana hawakubali kuwa kazi zote ni za wanaume tu
Sikiliza makala hii ili kumfahamu mama anayetoka Ghana ambaye hakubali kwamba baadhi ya kazi ni kwa ajili ya akina baba tu
Kijana mwenye niqab ashiriki mashindano ya chess ya wanawake
Maafisa wanaosimamia mashindano hayo walianza kumtilia mashaka na kuchukua hatua ambapo waligundua kuwa alikuwa mwanaume
Vijana Mubashara: Kusuka nywele ni kazi ya wanawake tu?
Katika makala hii ya Vijana Mubashara Jacob Safari anauliza je, kama mzazi utafanyaje ukitambua kwamba mtoto wako kijana wa kiume ana kipaji cha kusuka nywele za wanawake? Utamuunga mkono au itakuaje?
Elimu kwa Warohingya bado kitendawili
Wakimbizi wa Rohingya wengi wao wanaoishi nje ya Myanmar bado wanakabiliwa na hali tete. Wengi bado hawahisi kama wako salama, na kupata elimu kwao bado ni kitendawili. Basi hii leo, kutana na binti huyu aliyepambana kimasomo hadi kupata shahada ya kwanza. Njia haikuwa nyepesi hata kidogo. Tizama video hii kwa mengi zaidi. #Kurunziwanawake
Wanawake na Maendeleo: Wanawake wa Turkana wageukia kilimo
Wanawake na Maendeleo: Wanawake wa Turkana wageukia kilimo katika jamii inayotegemea ufugaji.
Sema Uvume:Uzinduzi wa jukwaa la soko mtandaoni nchini Kenya
Wanawake wamehimizwa kujihusisha na ujasirimali kupitia mifumo kama hii inayowapa soko nchini na kimataifa, ili waweze kujimudu kifedha. Mashirika na taasisi za kifedha vilevile zimetakiwa kuweka mikakati ya kuwakinga wateja wao dhidi ya uhalifu wa mitandaoni, ikizingatiwa kuwa siku hizi shughuli nyingi zinatekelezwa kwa njia ya kidigitali.
Umoja wa Mataifa waangazia kusitisha shuguli zao Afghanistan
Taliban iliwaagiza wafanyakazi wanawake kuacha kazi kwenye mashirika hayo.
Vijana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Ikisalia saa chache wakristo kote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka,vijana nao wanayo namna yao ya kushereheke
UN: Taliban wawakosesha kazi watu 3,300 wakiwemo wanawake.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura kuhusu hatua hiyo ya Taliban.
Guterres: Taliban iondoe zuio la wanawake kuajiriwa na UN
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuondolewa marufuku ya wanawake kuajiriwa na Umoja wa Mataifa huko Afghanistan.
UN kufanya mazungumzo na Taliban kuhusu wanawake
UN itafanya mazungumzo na Taliban kuhusu marufuku mpya ya wanawake kufanya kazi.
Wanawake wajitosa katika ubebaji wa samaki soko la Feri
Kazi ni kazi na mchagua jembe si mkulima ni miongoni mwa misemo inayohamasisha watu kutodharau au kubagua kazi, kwa sababu ukifanya hivyo matokeo yake ni umasikini na utegemezi kwa watu wengine. Misemo hii inawahusu wanawake walioamua kuizamia kazi ya kubeba samaki kwenye soko la Feri jijini Dar es Salaam, na kujipatia kipato kinachoambatana na heshima ya utu. #Kurunzi
Afghanistan: Wanawake waandamana kupinga marufuku dhidi yao
Zaidi ya wanawake 12 wameandamana magharibi mwa Kabul Afhganistan dhidi ya watawala wa Taliban kuwapiga marufuku shuleni
Blue Earth inavyotunza mazingira Mombasa
Wasiwasi wao kuhusu mabadiliko ya Tabianchi uliwasukuma kuchukua hatua ili kutoa mchango kupambana na changamoto hiyo, hivi sasa shirika la Blue Earth lililoasisiwa na wanawake watatu mjini Mombasa, linafanya zaidi ya kupanda mikoko katika harakati zake za uhifadhi wa mazingira. Ni #kurunziwanawake iliyoandaliwa na Ripota wetu wa Mombasa Fathiya Omar.
Sema Uvume: Wanawake na Teknolojia
Ikiwa bado tupo katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Sema Uvume leo inamulika kauli mbiu ya mwaka huu ya ubunifu na teknolojia katika kuendeleza usawa wa kijinsia na kutizama kwa ujumla matumizi ya teknolojia kwa wanawake na wasichana yakoje. Ungana na Sylvia Mwehozi.
Bunge la Uganda kuupigia kura muswada wa kupinga ushoga
Mwanachama wa kundi la LGBTQ anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 jela.
Kupambana na ubaguzi ni swala la haki
Kupambana na ubaguzi ni swala la haki
Baraza la Usalama laomba ushauri wa kukabiliana na Taliban
Serikali ya Taliban imekuwa ikilaumiwa kwa kukandamiza haki za wanawake na wasichana tangu iliporejea madarakani.
Maendeleo ya harakati za wanawake nchini Ujerumani
Kwa miaka na dahari sasa dunia imekuwa ikipambana kuleta usawa wa kijinsia,nchini Ujerumani taifa lenye uchumi mkubwa barani Ulaya hali inatazamwa kwa jicho la tofauti.Je taifa hilo limefanikiwa kumuinua mwanamke? Sikiliza makala ya sura ya Ujerumani
Mwanamke anayetoa elimu ya uzazi kwa wasichana
Katika Kurunzi Wanawake leo tunamuangazia Beatrice Magani anayetoa elimu sahihi ya masuala ya uzazi kwa vijana wa kike. Amefanikiwa wasichana wengi kupitia vikundi ambavyo vinatengenezwa na vijana wenyewe katika maeneo mbalimbali hasa yale ya vijijini.
Sera ya kutetea haki za kina mama Ujerumani
Makala ya Sura ya Ujerumani mara hii inaangazia sera ya ndani na nje ya Ujerumani katika kutetea haki za akina mama na usawa wa kijinsia na maendeleo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 21
Ukurasa unaofuatia