You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Msichana Jasiri kutoka Marsabit, Kenya
Katika kipindi cha Msichana Jasiri, Michael Kwena anamuangazia Jillo Fugicha, Msichana Jasiri kutoka Marsabit, nchini Kenya ambaye ameanzisha Shirika la kijamii la kupambana dhidi ya Ukeketaji.
Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na ushoga
wanaoshiriki mahusiano ya jinsia moja.
UN. yaonya dhidi ya ukandamizaji wa wanawake Afghanistan
Umoja wa Mataifa watahadharisha kusitishwa misaada Afghanistan
Rais Samia aungana na Chadema kuadhimisha siku ya wanawake
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekuwa mgeni rasmi katika sherehe za siku ya wanawake duniani za Chadema.
Madhila dhidi ya wanawake walioko maeneo ya machafuko DRC
Harakati za kuwakomboa wanawake dhidi ya madhila ya ubakaji na unyanyasaji nchini Kongo zinaendelea.
Maandamano yahanikiza siku ya kimataifa ya wanawake
Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake yamefanyika kote duniani kutetea haki zinazozidi kushambuliwa.
Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani
Wanawake wanapanga kufanya maandamano makubwa kote ulimwenguni leo kutetea haki ambazo zinazidi kushambuliwa
Ulimwengu waungana kuadhimisha siku ya wanawake duniani
Umoja wa Mataifa umekiri kwamba makundi haya yanakabiliwa na vikwazo vingi, na kutoa mwito kwa ulimwengu kuchukua hatua.
Washukiwa wakamatwa Iran kuhusiana na sumu katika shule
Hali hii imewakasirisha wazazi ambao wamekuwa wakiishinikiza serikali kuchukua hatua haraka.
Vyuo vikuu Afghanistan vyafunguliwa bila wanawake
Utawala wa Taliban uliwapiga marufuku wanwake kusoma vyuoni kutokana na kukosekana kwa utaratibu wa kutenganisha jinsia.
Wasichana zaidi wa shule Iran walishwa sumu
Ripoti za vyombo vya habari zinasema wasichana wa shule nchini Iran kwa mara nyengine tena wamelengwa katika mashambuliz
Iran yawakamata 4 kwa shambulio la sumu katika shule
Mamlaka nchini Iran imewakamata leo watu wanne wanaoshukiwa kuhusika na shambulio dhidi ya mwanamke mmoja nje ya shule y
Uganda yapanga kutunga sheria mpya ya kupinga ushoga
Msichana Jasiri: Msichana anayetoa elimu shuleni na vyuoni juu ya kujitambua
Katika umri wa miaka 19 tu swaiba anathubutu kupita shuleni pamoja na vyuoni kuitoa elimu kwa wasichana wengine juu ya kujitambua. Hii si rahisi kwake lakini nguvu nyingi na masaada wake mkubwa unatoka katika jamii. Si rahisi kwa jamii yake kumuelewa lakini matumaini yake ni kuwafikia wasichana wengi na anatamani kuona wazazi wanaotoa elimu madhubuti juu ya kujitambua kwa vijana wao.
Mwanamke 1 hufariki kila baada ya dakika 2 kwa ujauzito
Umoja wa Mataifa umesema katika kila baada ya dakika mbili, mwanamke mmoja hufariki dunia kutokana na ujauzito.
Akina mama na ujumbe wa amani Mombasa
#KurunziWanawake leo inamulika wanawake wa Mombasa, Kenya ambao wametumia maonyesho ya utamaduni wa wapwani kueneza ujumbe wa amani kwa kauli mbiu ya “Amani ni Mama na Mama ni Amani“. Vidio ya mwandishi wetu wa Mombasa Halima Gongo inaeleza juhudi hizo. #kurunziwanawake
Ujerumani na juhudi za kuwa mwenyeji wa soka la wanawake
Ujerumani yameonesha nia ya kuunga mkono juhudi za kusaidia Ujerumani kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la Wanawake 2027.
Una tabia ya kujipima matiti?
Unafahamu nini kuhusu matiti ya mwanamke? Unafahamu kwamba unatakiwa kuyakagua kila mara ili kujua kama yako salama ama la? Unafahamu ni kwa nini yametofautiana ukubwa? Na unafahamu kwamba huwa yanabadilika kadri umri unavyobadilika pia? Kuna nini cha zaidi kwenye kiungo hiki cha mwanamke? Mtaalamu yuko hapa kutuambia kwa kina kwenye video hii.
Amnesty: Waasi wa M23 waliwabaka wanawake na wasichana
Waasi wa M23 wamekuwa wakifanya mashambulizi mashariki mwa kongo na kusababisha wengi kukimbia makazi yao.
Uhispania yapitisha sheria ya kubadilisha jinsia
Uhispania yapitisha sheria ya kubadilisha jinsia kwenye vitambulisho kwa watu waliozidi miaka 16
Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floor"?
Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floor"? Naam hivi ndivyo unavyoitwa kitaalamu. Una faida nyingi kiafya, kuanzia kwenye uzazi na afya yako kwa ujumla. Kwa mara nyingine tunakuunganisha na mtaalamu wetu hapa anayetuambia zaidi kuhusu kiungo hiki kinachoundwa na misuli na kutenganisha kizazi na eneo la utumbo. Tizama video hii fupi.
Bidhaa zipi ni salama kusafisha sehemu za siri?
Unapoingia madukani hukosi bidhaa za kutumia kusafisha sehemu za siri za mwanamke tena za aina mbalimbali! Ukisoma maelekezo ya bidhaa hizo utaona zimeandikwa jiweke safi, ama jiweke salama, ama tunza sehemu zako za siri kwa usalama na nyingi pia zikiwa zimeandikwa kwamba zimethibitishwa na wataalamu. Je ni salama kiasi gani? Yupo hapa mtaalamu akitueleze kwa kina.
Je umri unakuzuia kupata ujauzito?
Si jambo geni kuona wanawake wakijiuliza maswali mengi na hasa inapotokea wanachelewa kupata ujauzito. Wengi hujiona kama wasio na bahati, tena wakiona umri nao unakwenda. Lakini umri na uzazi vnashabihiana vipi? Je ukishavuka miaka 30 inakuwa vigumu kupata ujauzito? Na je kuna suluhu? Ungana na mtaalamu wetu kupata majibu ya maswali kama haya.
Unawafahamu vipi bakteria walindao sehemu za siri?
Je unajua kwamba sehemu za siri za mwanamke zinalindwa kwa kiasi kikubwa na wadudu aina ya bakteria ili zisipate maambukizi? Lakini bakteria hawa hata hivyo wamegawika, wengine wazuri na wengine ni wabaya. Utajuaje lakini? Tizama video hii fupi, tukikuunganisha na mtaalamu ujijuze zaidi.#Jinsia na Mwili
Nchi zipi duniani zinaongoza kwa idadi ya wabunge wanawake?
Kulingana na data kutoka IPU, zipo nchi sita ambazo idadi ya wabunge wanawake ni nusu ya wabunge wote.
Wanawake na Maendeleo : wanawake wa migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Kenya
Karibu kwenye Makala, Wanawake na Maendeleo leo, tukipigia darubini hali ya wanawake wa migodi ya dhahabu nchini Kenya, anayekukaribisha ni mimi Musa Naviye nikikusihi, uandamane nami hadi tamati.
Mbiu ya Mnyonge: masaibu ya wanawake wanaotafuta ajira Uarabuni
Wasichana na kina mama waliokuwa wameahidiwa na mawakala wao kwamba wangesafirishwa kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia wamekwama mjini Nakuru na wanadai kulaghaiwa na mawakala wao. Wakenya wanazidi kusafiri katika mataifa ya Mashariki ya kati kutafuta kipato, wakiwa na matumaini ya kuboresha maisha yao, licha ya tahadhari inayotolewa kufuatia ripoti chungu nzima za dhuluma na udhalilishaji.
Ndoa za utotoni na unyanyasaji vyaongezeka Ethiopia
Shirika la UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni, na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia.
Fatema:Nitapambania afya ya jamii yangu
Fatema Juma mwanamke alinaepambania afya ya jamii kwa kutoa elimu ya lishe na mazoezi ili kupunguza uzito uliopitiliza.Ameamua kujikita katika hilo kutokana na yeye kuwahi kukumbwa na tatizo hilo ambalo lilileta athari kwa familia yake.Tazama video
Mtandao wa Mashirika 22 nchini Tanzania, watoa mapendekezo kuhusu ukeketaji
TANZANIA
Papa ashutumu ushoga kufanywa uhalifu
Papa ashutumu ushoga kufanywa uhalifu
Shirikisho la Riadha Duniani latoa mapendekezo
Shirikisho la Riadha Duniani latoa mapendekezo ya waliobadili jinsia
Wanawake, watoto waregeshwa kutoka kambi ya itikadi kali
Ufaransa yawarejesha nyumbani wanawake na watoto kutoka kambi ya itikadi kali
Umoja wa Mataifa wazuru Afghanistan
Mjumbe huyo wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa anazuru Afghanistan na atakutana pia na maafisa wengine mjini Kabul.
Wajumbe wa UN wawasili Kabul kushinikiza haki za wanawake
Wajumbe wa Umoja wa Mataifa wamewasili Kabul kwa mazungumzo na Taliban na kushinikiza haki za wanawake na wasichana.
Ukatili wa wasichana katika nchi za Asia
Serikali mpya ya Kenya imeonyesha juhudi za kukomesha ukatili unaotendewa wanawake wanaofanyakazi Mashariki ya Kati
Burkina Faso yawatafuta wanawake 50 waliotekwa
Juhudi zaendelea kuwatafuta takriban wanawake 50 waliotekwa nyara na washukiwa wanamgambo wa Jihad nchini Burkina Faso.
Ushiriki wa wanawake kwenye uchimbaji madini Vihiga Kenya
Katika baadhi ya jamii, baadhi ya kazi zinahusishwa zaidi na makundi fulani ya watu mfano kazi nzito zinahusishwa zaidi na wanaume.Hata hivyo, hali inazidi kubadilika wanawake kadhaa wakijitokeza kuendesha shuguli sawa na wanaume kwenye migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Magharibi mwa Kenya. Makala ya wanawake na maendeleo inamulika harakati zao na mwandaaji ni Musa Naviye
Wanawake wa migodi ya dhahabu ya Vihiga Kenya
Sikiliza makala iliyotayarishwa na Musa Naviye kuhusu wanawake wanaoendesha shughuli sawa na wanaume kwenye migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Magharibi mwa Kenya.
Haki za wanawake zinavunjwa makusudi
Wanawake kote ulimwenguni wamekuwa wakinyimwa haki zao kutokana na hatua mbalimbali zinazowaminya.
Wanawake na Maendeleo: Wanawake na kilimo cha Mwani Zanzibar
Makala ya Wanawake na Maendeleo inatizama jinsi kilimo cha Mwani kinavyowasaidia wanawake kiuchumi Zanzibar
Kazi ni kazi, haina mwenyewe!
"Hapa kazi tu", pengine ndivyo anavyosema mwanamama huyu anayeongoza uzalishaji kwenye kiwanda cha chaki. Kuna mengi ya kujifunza hapa. Tafadhali tizama video hii kwanza, kisha utuambie. #Kurunzi.
Taliban yaombwa kubatilisha zuio la wanawake kufanya kazi
Wanawake wa Afghanistan wanakabiliwa na vizuizi mba7limbali tangu Taliban waliporejea madarakani Julai mwaka jana.
Ipi hatma ya wanawake nchini Afghanistan chini ya Taliban?
Kundi la Taliban lilipiga marufuku wanawake kufanya kazi katika mashirika yasiyo ya kiserikali.
UN:Taliban ibadili misimamo yake dhidi ya wanawake
hatua hiyo imechukulia baada ya watawala wa Taliban kuweka mkururo wa vikwazo dhidi ya wanawake.
Maoni: Mwaka 2022 ulikuwa wa wanawake
Wanawake wameonekena kupambana moja kwa moja na changamoto zilizowakabili kwa kuungana mkono kwa namna mbalimbali.
Afya Yako: Ongezeko la virusi vya HIV miongoni mwa wanawake
Kaunti zilizoathirika zaidi ni Nairobi, Kisumu, Homabay, Siaya, Migori, Nakuru, Mombasa, Kakamega, Kisii na Uasin Gishu
Uturuki yaitaka Afghanistan kutengua uamuzi wake
Marekani na Uingereza zimetoa matamshi makali ya kulaani uamuzi huo wa Taliban
Taliban yawazuia wanawake kujiunga na elimu ya juu
Balozi wa Uingereza kwenye Umoja wa Mataifa amesema agizo hilo linaashiria uminyaji mkubwa wa haki za wanawake
Taliban yazuia wanawake kujiunga na vyuo vikuu
Taliban iliahidi kulegeza misimamo yake dhidi ya wanawake lakini imekiuka ahadi zake kwa kuchukua hatua kali kila wakati
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 21
Ukurasa unaofuatia