You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanawake Afghanistan waandamana mjini Kabul
Siku ya Kimataifa ya kutokomeza kkatili dhidi ya wanawake huadhimishwa duniani kote Novemba 25.
Umewahi kujifunza kupitia vikaragosi?
Umewahi kujifunza kupitia vikaragosi?
Kampeni ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake yaanza
Wanawake wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wahisi vita vinachangia pakubwa kuharibu zaidi hali ya mambo.
Maendeleo ya Wanawake wa Pemba
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo tutakupeleka hadi kaskazini kwa kisiwa cha Pemba ambapo huko utapata kusikia maoni ya wanawake wanavyonufaika na miundombinu ya barabara kuzifikia huduma za afya, masomo, sheria pamoja na wajasiriamali kuyafikia masomo ya mijini ambapo kwa miaka mingi wanawake walikosa huduma hizo.
Jinsi wanawake walivyogeuzwa shabaha ya wapiganaji Kongo
Maelfu ya wanawake na watoto wameyakimbia makaazi yao kwenye eneo hilo kutokana na kuandamwa makusudi na wenye silaha.
Waamuzi wa kike Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza
Waamuzi wanawake watakaosimamia mechi kwa mara ya kwanza kabisa katika Kombe la Dunia, nchini Qatar wanasema wamechaguli
Kifua kikuu chawatesa wanaume kuliko wanawake nchini Kenya-Ripoti
Ripoti ya utafiti mpya uliofanyika nchini Kenya, imeonyesha kuwa theluthi mbili ya watu wanaougua kifua kikuu (TB) nchini humo ni wanaume. Sababu mojawapo ya hali hiyo, ni kuwa wanaume hupenda kujumuika kuliko makundi mengine katika jamii. Serikali ya nchi hiyo imeelekeza juhudi katika kuwakinga wanaume na ugonjwa huo na mengine kadhaa yanayowaandama.#Kurunzi Afya
Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Alizeti Babati
Makala ya wanawake na Maendeleo hii leo inaumulika umoja wa vikundi vya kinamama wanaolima zao la Alizeti kutoka wilaya ya Hanang; Mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania, umoja ulioanzishwa takribani miaka mitano iliyopita, je ni yapi mafanikio ya umoja huo, ungana mani Veronica Natalis katika Makala hii.
Kenya: Idadi ya majaji wanawake yaongezeka
Idadi ya majaji wanawake imefikia 81 ikilinganishwa na wanaume 91.
Wanawake wanaotumia taka kuzalisha gesi
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo leo hii mwandishi wa DW Tatu Yahaya anaangazia namna ambayo kikundi cha wanawake wanaozikusanya taka zitokazo vyooni (kinyesi cha binadamu) kuzalisha Gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani. Sikiliza makala haya.
Juhudi za kuwapa wanawake nafasi zaidi serikalini Kenya
Makala ya wanawake hii leo inaangazia juhudi za kuiongeza idadi ya wanawake katika uongozi wa ngazi ya juu nchini Kenya. Kenya inaunda serikali yake mpya ya bunge la 13 na idadi ya wanawake kwenye ngazi ya juu imeongezeka. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2022, Rais William Ruto aliahidi kuwatengea wanawake nusu ya nafasi kwenye baraza lake la mawaziri. Thelma Mwadzaya anamulika zaidi.
Mamilioni ya watoto,wanawake hatarini Yemen
Umoja wa Mataifa unasema ufadhili kuhusu Yemen umepungua ikilinganishwa na msaada uliohitajika
Benzema ashinda tuzo ya "Ballon d´Or"
Karim Benzema awapiku Mane na Lewandowski
Matatizo ya afya na njaa kwa wanawake yajadiliwa Burundi
Umoja wa Mataifa umewataka washiriki kuchunguza sababu zinazo pelekea matatizo ya afya na njaa kwa wanawake na watoto.
Zaidi ya 75 waandamanaji wauawa Iran
Maandamano haya yalichochewa na kifo cha msichana wa miaka 22, Mahsa Amini baada ya kukamatwa na polisi wa maadili.
Iran Human Rights: Watu 31 wauawa kwenye maandamano Iran
Taarifa hiyo imetolewa Jana na Shirika la kutetea haki za binaadamu la Iran Human Rights (IHR).
Raisi aonya waandamanaji nchini Iran
Haya ni maandamano makubwa kushuhudiwa nchini Iran tangu ya mwaka 2019.
Wanawake wanaweza
Wanawake wanaweza
Guterres aitaka Taliban kuruhusu wasichana kusoma
Taliban iliwazuia wasichana kuendelea na masomo mara baada ya kurejea utawalani nchini humo mwaka jana.
Ushirika wa Wanawake wa Nronga
Makala ya Wanawake na Maendeleo ya DW inatazama maendeleo yaliyofikiwa na ushirika wa wanawake wa kijiji cha Nronga kilichopo Machame, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambacho kimejikita katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Wanawake wamshinikiza Ruto kutimiza ahadi ya usawa wa jinsia
Mchango wa wanawake haujapewa uzito kwenye maamuzi na juhudi nyingi za ujenzi wa taifa
UN: Mamilioni ya watoto,wanawake wapo hatarini Pakistan
Hayo yamesemwa kufuatia mvua kubwa ambazo zimesababisha mafuriko makubwa yalioathiri zaidi ya watu milioni 33
Uraibu wa mihadarati miongoni mwa wanawake Afghanistan
Katika makala ya wanawake na maendeleo leo, yanayojadiliwa ni masuala na matukio yanayowahusu akina mama duniani kote. Na wiki hii Zainab Aziz analiangalia suala la jinsi akina mama wa Afghanistan wanavyolikabili tatizo la uraibu wa mihadarati nchini humo.
Sanaa ya vichekesho kwa kuiga jinsia tofauti
Kizazi cha mitandao ya kijamii kimechangia katika kuzaliwa kwa aina mpya ya Sanaa ya vichekesho, ambayo imechukua usukani kutoka kwa sekta ya kawaida ya burudani. Sanaa ya kuiga kina mama zetu, shangazi zetu, mabinti zetu au hata nyanya zetu imeuteka sasa ulimwengu wa intanet na kuzalisha hela.
Kurunzi Wanawake-Halima Rashid
Sio jambo la kawaida katika sehemu ya ujenzi kumkuta mwanamke anayeendesha na kufanya shughuli katika mitambo mikubwa ya ujenzi. Lakini Halima Rashid anaifanyia kazi, hiyo hiyo na anaamini wanawake wengi zaidi watajitokeza. Ndiye tunayemuangazia kwenye makala yetu ya Kurunzi Wanawake.
Zaidi ya wasichana 3,000 waliotoroshwa Uganda waokolewa
Mamlaka nchini Uganda zimethibitisha kuwa zaidi ya wasichana 3,000 waliotoroshwa kutoka nchini humo wameokolewa katika nchi jirani ya Kenya na hivi karibuni watarudishwa na kuungana na jamaa zao. Idadi kubwa ya wasichana hao ni kutokea jamii ya Wakaramoja na wamekuwa wakitumikishwa kazi mbalimbali nchini Kenya. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.
Ghasia dhidi ya wanawake wanaowania viti vya siasa Kenya
Wanawake wanaowania baadhi ya viti vya siasa Kenya wakumbwa na ghasia.
Ujerumani kuvaana na Engalnd fainali ya Euro
Ujerumani imeichapa Ufaransa mabao 2-1 katika mchezo wa pili wa nusu fainali na kujikatia tiketi ya fainali
DW Michezo: Wanariadha wavunja rekodi mjini Eugine
Rekodi za dunia zavunjwa wakati mashindano ya riadha ya dunia yakimazilika mjini Eugine Marekani // Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya - Euro 2022 kwa wanawake yanaingia nusu fainali, Je nani atatinga fainali ya Wembley? Msikilize Bruce Amani
Euro 2022 kwa wanawake yatinga nusu fainali
England watakabana koo na Sweden wakati Ujerumani wataangushana na Ufaransa kutafuta tiketi ya kucheza fainali Wembley
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya baada ya kuibamiza Ubelgiji bao 1-0.
Ujerumani yatinga nusu fainali Euro ya wanawake
Timu ya taifa ya Ujerumani ya kandanda la wanawake imetinga nusu fainali ya michuano ya Euro 2022 kuibamiza Austria 2-0.
Kutana na Jamila Kizondo, mchekeshaji anayeutangaza utamaduni wa Mswahili Marekani
Jamila Kizondo amejizolea umaarufu mitandaoni kwa kutumia kwake vichekesho kuutangaza utamaduni wa Mswahili nchini Marekani. Leo ndiye malkia wetu kwenye KURUNZI WANAWAKE, ambapo Fathiya Omar kutoka Mombasa amezungumza juu ya kazi zake.
England wawachaza Ireland Kaskazini 5-0 mechi ya mwisho
Austria imeweka miadi na Ujerumani robo fainali baada ya kuiondoa timu iliyojaa nyota ya Norway.
Ufaransa yatinga robo fainali baada ya kuipiga Ubelgiji 2-1
Ufaransa itakutana mshindi wa pili katika kundi C ambalo linaongozwa na Uholanzi, huku Sweden akishika nafasi ya 2.
Euro 2022: Ujerumani yafuzu kuingia kwenye robo fainali
Jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mechi zake kwenye mashindano ya kandanda yanayoendelea huko England.
Vijana Mubashara: Kwanini wanawake hulaumiwa kwa ugumba?
Sylvia Mwehozi anawauliza vijana kwanini wanawake hulaumiwa kwa ugumba katika ndoa?
Wanawake wasionyonyesha kwa miezi sita wanaongezeka duniani
Ni asilimia 44 tu ndio hunyonyesha hadi miezi sita baada ya kujifungua, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Wachezaji wa zamani watumai kuipa Ujerumani ushindi
Taifa hilo limeshuka viwango hivyo kwenye michezo, baada ya mataifa mengine kuchukua ushindi.
Michuano ya kombe la EURO kwa wanawake kuanza England
Michuano hii ilikuwa ifanyike mwaka uliopita lakini ikaahirishwa kutokana na janga la corona.
Bachelet aataka haki za wanawake ziheshimiwe Afghanistan
Bachelet aataka haki za wanawake ziheshimiwe Afghanistan
Atumia usafiri wa farasi kutokana na ongezeko la bei ya mafuta
Katika Wanawake na Maendeleo, tunamulika mwanamke mmoja wa jimbo la Hesse magharibi mwa Ujerumani ambaye anamiliki mifugo ya farasi, na sasa ameacha kutumia usafiri wa gari lake na kuanza kutumia usafiri wa farasi ili kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta
Wanawake watakiwa kujisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi
Siku mbili kabla ya mkutano wa kilele wa marais wa nchi za jumuiya madola kufanyika Kigali Rwanda, umefanyika mkutano mkuu wa wanawake viongozi kutoka nchi za jumuiya hiyo ya madola. Wanawake wamewataka wanawake wenzao kujiamini na kuhakikisha wanajisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi. Sikiliza ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali.
Makala ya Wanawake na Maendeleo
Leo tunamuangazia mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Living Together Autistic Foundation (Li-Tafo) nchini Tanzania ambayo inajihusisha na kuwasaidia watu wenye usonji walio na kipato cha chini. Mhandisi Shangwe Mgaya alianzisha taasisi hiyo baada ya kupata mtoto mwenye usonji na hata baadaye kupewa talaka na mumewe. Mtayarishaji wa Makala hii ni Neema Misheki.
HRW yaitaka Afrika kulinda haki za wasichana na wanawake
HRW yaitaka Afrika kukomesha Unyanyasaji wa Haki dhidi ya Wasichana
Atumia usafiri wa farasi kutokana na ongezeko la bei ya mafuta
Nakukaribisha tena katika makala ya wanawake na maendeleo. Leo tunaangazia kuhusu mwanamke mmoja aliyepo jimbo la Hesse magharibi mwa Ujerumani ambaye anamiliki mifugo ya farasi, pia ni mkufunzi wa farasi, na sasa ameacha kutumia usafiri wa gari lake na kuanza kutumia usafiri wa farasi ili kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta. Sikiliza makala ya Wanawake iliyoandaliwa na Neema Misheki.
Ajuza Mkenya athibitisha elimu haina mwisho
Wanafunzi darasani wanafurahia kusoma na ajuza.
Nchi zinazotambua likizo ya hedhi kwa wanawake
Mei 28 kila mwaka ni siku ya hedhi duniani. Pamoja na changamoto nyingine wanawake wengi hupatwa na maumivu makali.
Wanasiasa wanawake DRC wakabiliwa na changamoto lukuki
Wanasiasa hao walisema hayo katika mkutano wa pamoja kujadili namna ya kufikia lengo la usawa katika uwakilishi.
Mwanamke mshona viatu Dar es salaam
Ni wazi usawa wa kuchagua kazi unaanza kushuhudiwa ukipungua katika mataifa mengi ulimqwenguni.Jijini Dar es salaam Tanzania, mwanamke ameamua kutoka nyumbani kuwa tegemezi hadi kwenda katika kati ya jiji na kushona,kuosha na kupiga rangi viatu. Anajivunia kazi yake.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 21
Ukurasa unaofuatia